Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

What if ikitokea kwenye gimba jingine mfano Titan maisha yakiwa kwenye Silicon based?

Maana kule bahari Yao ni Methane na ipo kwa mfumo wa kimiminika?

Nadhani hoja ya watu kumdicredit Mungu ipo kwenye mifano halisi.

Kule kwenye vitabu vya dini ya Ibrahim wanasema binadamu ndio aliumbwa lakini wanyama na Mimea alisema au kutamka vitokee na vikatokea.

Ila ukiwafatilia wanyama namaanisha kingdom Animalia na hasa Mammalia utagundua hawana tofauti kubwa hasa foetus.

Ulaji wa vyakula sisi tupo kundi la Omnivorus na wanyama kama Nguruwe hivyo hatuna huo uspecial.

Kitu pekee ni Intelligence ya human lakini the rest ni sawasawa na ndugu zetu.
 
Upo sahihi hasa kama kwenye kupotea maana inachange into another form.
Hongera kwa kunisahihisha
 
Ni binadamu ndio kazitengeneza eti Alfa na omega.
Yupo kila sehemu(omnipresent)
Ana uwezo wa kila kitu.

Halafu ukiwauliza anafananaje hawajui.
[emoji23] inshangaza sana mkuu wanasema mungu amekamilika hakosei na anajua kila kitu. Huku biblia inasema mungu alijutia kumfanya Sauli mfalme kwa maana hiyo hakujua maovu ambayo Sauli atafanya
 
Ndiyo maana nikasema kuna kipindi inabidi tukubali kuna vitu hatuvijui and humbly tuendelee kujifunza.

Kuumba kwa kutamka na kuumba kwa kutengeneza wala hakuna tofauti yoyote, haimaanishi kwamba kuwe na tofauti kubwa kati ya viumbe walioumbwa kwa kutamka na viumbe walioumbwa kwa kutengenezwa.

Mfano, Kama Mungu aliweza kuumba hivyo viumbe wengine kwa kutamka tu basi inaonyesha angeamua kumuumba Mtu kwa kutamka pia ingewezekana, so haimaanishi kwamba lazima kuwe na tofauti kubwa kwenye maumbile ya Jamii tofauti tofauti za viumbe hai walioumbwa kwa kutamkwa na Mtu.
 
Tuseme sina uhakika binadamu ndio waliotengeneza hizo sifa. Niambie Sasa hizo sifa zilitokea wapi?
Hizo Sifa, watu wamezijua kupitia Revelations (ufunuo) kutoka kwa Originator mwenyewe....mfano Zaburi(Daudi),Taurat(Musa), Injili(Yesu)& Qur'an(Mohammad).

So, hapo ni juu yako...kama huwaamini hao waliofunuliwa hivyo vitabu basi hata hizo Sifa walizoeleza huwezi kuziamini.
 
Kumbuka alifinyanga udongo na kupulizia pumzi yake ndio ilivyoandikwa.

Lakini ukiangalia ufanyaji kazi wa mwili kati ya human na other mammals ni the same yote inaendeshwa na hormone.

Yote inakufa na kuoza.

Yote inashambuliwa na magonjwa

Yote Ina malfunction kama kufeli kwa moyo au figo

Hivyo unagundua walioandika waliamua kujipakulia minyama na kujisifia jamii Yao ya wanyama na kuwadunisha jamii nyinginezo kama Simba.

Ninachoamini Homo Sapiens ni sehemu ya mazingira kama walivyo wengine.
 
Sababu kubwa kwanini siwezi kuwaamini wote wanapokea revelations kutoka kwa originator kama ulivyosema, huyo originator ni mmoja lakini anawapa revelations zinazopingana kwanini afanye hivyo?

Mfano msingi wa ukristo ni Imani katika yesu aliechukua mfumo wa binadamu, akasulubiwa ili awakomboe wenye dhambi. Niambie mkuu Quran inakubaliana na hili?
 
Nadhani sio lazima kuwe na tofauti kubwa kati ya Aliyeumbwa kwa kufinyangwa na walioumbwa kwa kutamkwa....

Kwanini tusidhani kwamba Muumbaji aliamua tu kuwapa Sifa sawa with tiny differences hao viumbe wote?

Hata Mimi naona utofauti mkubwa kati ya Mtu na Jamii nyingine za viumbe hai ni kwamba Mtu yeye amepewa akili nyingi, ndiyo maana ana Uwezo wa kuongoza viumbe hai wengine.
 

Unajua
Unataka kusema God= Nishati(Energy)?
huyu jamaa mwenyewe hajui anasema ninj
 
Hakuna uthibitisho wa kisayansi wa kuwapo kwa Mungu katika uzi huu.

Mimi naweza kutoa uthibitisho wa kisayansi kwamba Mungu perfect hayupo.

God is supposedly the most perfect entity. God is the fullness of perfection.

In Physics, perfection in any state is measured by entropy. Refer to the second law of thermodynamics.

Using entropy and the second law of thermodynamics, as entropy increases, order decreases,perfection decreases.

So, the most perfect state of being is the one with 0 entropy.

So if God exists, God has 0 entropy.

So, in science, what does it mean to have 0 entropy?

In science, having the ultimate 0 entropy means non-existence. Once any entity moves from non-existence to existence, it increases entropy from 0 to something, it moves from perfection to some imperfection.

What does this mean in terms of God? This means, in scientific terms, in terms of entropy, the perfect God does not exist. That God has 0 entropy, and therefore, is in non-existence, therefore, that God does not exist.

I have provided a full scientific account, using entropy and the second law of thermodynamics, to show you that a perfect God does not exist.

QED.
 
So tell me what's the source of the beginning of universe.
No one knows..

We are all predicting the source through Science and Religion,

But none of them has been able to come up with clear and exactly answers, proofs and evidences on how the universe begun.
 
Nadhani hapa kidogo umeenda nje ya mada.

Hebu nikuulize kidogo.
How energy become to exist?
Refer the first Law of thermodynamic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…