Hakuna sehemu nimelazimisha Uamini kwamba Ulimwengu Umeumbwa.Kwa hivyo mkuu tukubaliane kwamba Hakuna mwenye Uthibitisho wa kwamba tuliumbwa au Hatuku umbwa.
Wote tuna imani tu, Na wewe pia usilazimishe tu kwa maneno kwamba tuliumbwa bila kuwa na uthibitisho.
Kusema Ulimwengu na viumbe haujaumbwa ni Imani.
Kusema Ulimwengu Umeumbwa ni Imani.
Na kwa wengine "Creation theory" ya Creator ambaye Hathi bitishiki yupo,Hakuna sehemu nimelazimisha Uamini kwamba Ulimwengu Umeumbwa.
Bali kwa upande wangu Mimi Creation theory inaingia akilini kuliko Evolution Theory.
MWISHO WA SIKU TUTAJUA YUPI ALIKUA SAHIHI....
Ni kweli kabisa!Yes, maana DESIGNER Mwenyewe anasema amewapa watu uchache sana katika elimu.
Yani elimu tuliyo nayo kuhusu vitu mbalimbali , sawa na kuingiza kidole kwenye bahari kisha utoe then Yale maji yaliyobaki kwenye kidole ndiyo elimu tuliyopewa... HATUJUI VINGI
Lakini, si unafahamu kwamba wewe ni miongoni mwa waumini?Na kwa wengine "Creation theory" ya Creator ambaye Hathi bitishiki yupo,
Lakini sifa zake zipo, Hai ingii akilini inaleta utata sana.
Bahati mbaya sana, mwisho wa hiyo siku tutakuwa sote hatupo! Na mara nyingi hiyo siku ya mwisho haifiki, inakuja nyingine na nyingine hata tukishatoweka!Hakuna sehemu nimelazimisha Uamini kwamba Ulimwengu Umeumbwa.
Bali kwa upande wangu Mimi Creation theory inaingia akilini kuliko Evolution Theory.
MWISHO WA SIKU TUTAJUA YUPI ALIKUA SAHIHI....
Ndio hakuna mwenye Uthibitisho wa chanzo cha huu ulimwenguLakini, si unafahamu kwamba wewe ni miongoni mwa waumini?
Yani kusema kwamba Ulimwengu haujaumbwa, ni Imani... Maana uthibitisho huna.
Mkuu kila mtu atapata uthibitisho wa kile alichokiamini.Bahati mbaya sana, mwisho wa hiyo siku tutakuwa sote hatupo! Na mara nyingi hiyo siku ya mwisho haifiki, inakuja nyingine na nyingine hata tukishatoweka!
Basi, sawa tuendelee na Imani zetu na tuendelee kusoma zaidi... Uzuri akili haidanganyi na ukweli ni mgumu kuupinga.Ndio hakuna mwenye Uthibitisho wa chanzo cha huu ulimwengu
Huyo Mungu kama alitaka watu wa mwamini yupo si ange jitokeza na kujidhihirisha bila utata?Mkuu kila mtu atapata uthibitisho wa kile alichokiamini.
Asiyeamini kuna Mungu, atathibitisha endapo kufufuliwa hakutokuepo maana wasioamini wao wanaamini ukifa kila kitu kitu kimeishia hapo ....
Kumbuka ahadi ya Mungu ni kwamba ipo siku watu na viumbe wote Ulimwenguni tutakufa kisha tutafufuliwa.
;-Na kwa anaeamini uwepo wa Mungu, uthibitisho ataupata siku ambayo atafufuliwa na kulipwa kadri ya matendo aliyofanya kwenye maisha yake.
So, ufufuo ukitokea Walioamini uwepo wa Mungu watasema "Hii ndiyo ile siku tuliyoahidiwa"
Na wale wasioamini watashangaa kwamba Yale yaliyokua yakisemwa yametimia.
Hahhh kwahiyo unataka tuendeleze ligi....Huyo Mungu kama alitaka watu wa mwamini yupo si ange jitokeza na kujidhihirisha bila utata?
Badala yake ana jificha halafu anataka tuamini yupo.
Yani kwamba yeye mwenyewe Hajijui kwamba ana aminiwa au Ha aminiwi.
Anasubiri sisi tumdhihirishie kwamba ana aminiwa au Ha aminiwi..
Ana uwezo wa kujua yote kweli?
Kama anahitaji uthibitisho na kujua kama ana aminiwa au haaminiwi na viumbe vyake mwenyewe?
Hivi mkuu mimi nika kwambia mimi ndio Mungu nimeumba ulimwengu wote na vyote vilivyomo.Hahhh kwahiyo unataka tuendeleze ligi....
Ipo hivi, Mungu hana shida ya kuthibitisha kuaminiwa au kutoaminiwa na viumbe wake, Yani sisi wote Dunia nzima hata tusipomuamini hatumpunguzii kitu.
Kitu Kingine ni kwamba Mtu ukiamua kupinga kitu hata uletewe uthibitisho gani utakataa...
Mfano,..Mungu akija kwako na kukuambia Yeye ndiyo Mungu aliyeumba Ulimwengu mzima na Viumbe wote utakubali?
Kuna watu waliishi zama za Yesu, akawafanyia miujiza mingi mpaka kufufua wafu ,.. lakini Walimpinga
Wazo hili linaweza lisikuelekeze kujua kwa udhabiti nini unakielezea.Kwenye ulimwengu ambao mchakato wake ni wa vurugu na usio na mpango wala lengo hamna nafasi ya kupata ukweli wala maarifa kwani tunakuwa tumefungwa kwenye mchakato wa visababishi vya kimwili (physical determinism).
Mfano huu unaonyesha namna yetu ya kufafanua mambo na pia uelewa wetu wa mambo na elimu ya vitu ulivyo bado mdogo na sio kwamba mchakato wa tendo hilo ni wa vurugu na usio na mpango wala lengo.Yani kama tuchukue kopo tuweke herufi tatu ndani A,B,C tulitingishe kisha tuangalie all the possible combinations, ambazo zitakuwa ni ABC, ACB, BAC, BCA, CAB, CBA. Mtu ataweza kusema combination sahihi hapo ni ipi? Kwa misingi gani mtu aseme ABC ndo sahihi?
Have you witnessed such phenomena in the universe?Since, God is The Creator & Designer who brought all things into Existence.
Hence, Your question & Idea that God has a Designer automatically dies.
Oh safi. Basi tunatakiwa kuwaza pia kama sayansi nayo ni aina fulani ya imani.Sio kwa sayansi ila kiimani. Ni wazo tu linaloundwa kwenye akili za watu, utahakikishaje hayo mawazo. Sio kitu halisia.
Energy haiwezi kuwa Mungu:When we discuss about God concept at this era tunatakiwa kujadili kwa mtazamo mwingine.
Hatuwezi kuendelea kujadili concept of God kama walivyokuwa wakijdadili karne za zamani sana.
Concept of God we have to discuss it kwa mtazamo wa kisayansi pia. Kwamba omnipresent of God idea is the Idea of the presence of Energy. Energy is everywhere in the Universe.
According to many theories energy was there before the Big bang.
Energy was concentrated to the point which known as singularity.
So tunaendelea kufanya utafiti how energy became to exist. Hiyo ipo beyond of our understanding until this moment.
Ngoja niishie hapa. Kisha nitaelezea how energy works in our body. From heat energy, electric energy etc.
Hapo huna ulichopinga Bali umekubaliana kuwa humans sio Special kama hata kitu ilichokuwa inajivunia Hana binadamu peke yake.Hiyo kusema hakuna kuumbwa kwa kutamkwa ni Imani yako tu.., maana ukiambiwa uthibitishe kwamba haiwezekani kuumbwa kwa kutamkwa hautoweza.
Kuhusu akili, yes Viumbe wengine Wana akili lakini human being amewazidi viumbe wengine.... Au hili nalo unabisha?