Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

Mkuu,
Unaweza changia pia...what do you know about quantum physics?
Haina uhusiano na thread ila inashangaza kuona watu wanaongea kwa kujiamini vitu ambavyo hawavielewi,

Nichojifunza ni kuwa makini kuna watu wanalisha wenzao false knowledge
 
Watabisha pia kua .
Ukiwa unaangalia kawaida huwezi kuliona pua mpaka utulie uangalie kwa umakini ndio utaliona. Kwanini? Macho yanaliona pua ila ubongo wako unalipuuza (ignoring) pua lako ili lisikuzibe kuona mbele yako.. hii inasaidia watu wenye mapua makubwa tuone vizuri, Kwa umbali uliopo Kati ya pua na Macho na pua lilivyokaa basi tusingewez kuona mbele.
Hivi haya mambo huwa unajifunzia wapi ? Mbona unakosea sana ?

Inaonekana hujui hata ubongo unafanya vipi kazi. Mwanadamu anapata maarifa kupitia njia kuu mbili,mosi milango ya fahamu na pili ufunuo.

Kwa mfano : Macho yanapo ona kitu fulani,ubongo hufanya kazi ya kukitafisiri kitu kile na kuaninisha sifa zake kisha kilicho onekana kinawekwa katika mafuhumu yake na moyo,yaani moyo kama kabati na ubongo unafasiri kilicho onwa na macho na kama jicho limeona mti ubongo unatambua mti huo ni mti gani na taarifa inaenda kwenye moyo kisha moyo unauweka mti huo mahala pake.
So akili hupuuza tu kuliona pua lako na sio kwamba halionekani na macho.
Kitu hiki kinafanyika tena Kwenye Miwani na Darubini
Akili ni kiziuzi kutokana na kukosea. Hakuna maana ya akili zaidi ya hii.
 
Hiyo ndio definition ya quantum physics? Asee mnanitisha mkuu kama hujui kitu uwe unauliza uxuelimishwe au uwe unajisomea usiwe una assume
Usiwe mpumbavu.
Nime define according to my opinions so what do you have to say?

Usini difainie kwa kutumia definition za google au kitabu chako cha physics nitakuumiza kwa facts HAUTAAMINI

Shubahamiti
 
Haina uhusiano na thread ila inashangaza kuona watu wanaongea kwa kujiamini vitu ambavyo hawavielewi,

Nichojifunza ni kuwa makini kuna watu wanalisha wenzao false knowledge
Yani wewe huna uwezo wa kujadili chochote cha Fizikia na mimi and am so damn sure about what am saying.
Niko mbali sana kuhusu Fizikia na Kompyuta.
 
Hivi haya mambo huwa unajifunzia wapi ? Mbona unakosea sana ?

Inaonekana hujui hata ubongo unafanya vipi kazi. Mwanadamu anapata maarifa kupitia njia kuu mbili,mosi milango ya fahamu na pili ufunuo.

Kwa mfano : Macho yanapo ona kitu fulani,ubongo hufanya kazi ya kukitafisiri kitu kile na kuaninisha sifa zake kisha kilicho onekana kinawekwa katika mafuhumu yake na moyo,yaani moyo kama kabati na ubongo unafasiri kilicho onwa na macho na kama jicho limeona mti ubongo unatambua mti huo ni mti gani na taarifa inaenda kwenye moyo kisha moyo unauweka mti huo mahala pake.

Akili ni kiziuzi kutokana na kukosea. Hakuna maana ya akili zaidi ya hii.
Kukosea na kupatia it's perceptive statement. You might see I wrote some trash because I didn't meet and feed up your EGO so I neither wrong Nor right.
 
Dini ni kirusi hatari sana, yaani mtu anasema kwenye moyo kuna nafsi? Mwingine anasema kwenye moyo kuna roho, mwingine anasema kwenye moyo kuna akili?

Watu wanafanyiwa surgery za moyo, wengine wanawekewa pacemaker wengine wanapata heart attack, hizo nafsi na roho hazijawahi kuonekana wala kusaidia chochote,

Ni wazi hapa jukwaani kuna wajinga wengi sitauliza chochote tena maana wengi mpo poisoned na religion vitu mnavyo ongea ni vya kisayansi ninyi mnaingiza mambo ya kufikirika,

Hii ni hatari kwa ustawi wa taifa, afadhali niwe najisomea vitabu kuliko kumuuliza mtu mwenye fikra mfu
Je wewe binafsi unaamini chimbuko/ Origin of existence ya mwanandamu ni nini????
 
Sasa wakuu mbona ukitafakari sana ama ukiishughulisha sana akili kichwa kinauma? On medical perception brain ndo kitunza kumbukumbu na kiamua tabia baada ya athari ya mazingira na moyo si kitu ila ni pump ya damu na regulator ya mfumo vimiminika katika human body mimi ndo nijualo hilo mind na nafsi si kitu kwenye uga wa human medicine
 
Mkuu kunamahali mleta uzi kavulugha, na pia hakujua kuwa kavulugha, ila kajitahidi kuelezea..
 
Yani wewe huna uwezo wa kujadili chochote cha Fizikia na mimi and am so damn sure about what am saying.
Niko mbali sana kuhusu Fizikia na Kompyuta.
Mtaalam wa physics hujui quantum mechanics ni nini,
 
Hapana ni kitu kisichoonekana wala kushikika
Hujaeleza akili ni nini ?

Umetaja kazi zake tu.

Au kama ulielezea naomba nifahamishe kwa kifupi mkuu akili ni nini kwa mujibu wa bandiko lako ?
 
Nimegundua sasa kwanini kila nachosema hunielewi
c1MHKgw-1.png

Wewe ndio hielewi mkuu, fikiria vizuri
 
Back
Top Bottom