mkuu mbn umekuwa mkali, shusha nondoKwa hiyo Ujanja na Ujinga unapimwa kwa Mtu kuweka Ulinzi na mwengine kutoweka??
Sio kama wewe Mtoa mada na wanaokusapoti ndio akili zenu hazina akili??
Tukirudi kwa hao matajiri aliyekwambia hawalindwi na kujilinda nani?? Ulishawahi kumuona Bill Gates anatembea sokoni?? Unajua hizo sehemu ambazo wewe unaoneshwa kwenye Tv akiwa ametembelea kulishafanyiwa uchunguzi na ulinzi kabambe wiki nzima??
Njoo na hoja nyingine inayoonesha Muafrica hana akili na huyo Mkoloni wako anazo.
Kwa mantiki hiyo South Africa mgeni wa kwanza kuja alikuwa mreno na wapili mu holland aliyeweka makazi alikuta Afrika bado wapo nyuma kwa kila kitu usiende mbali hapa kwetu napo hilikuwa hivyo hivyo so hapo hayo maalifa ya Misri yalishindwaje kuwafikia mababu zetu so hizo ulizo andika hapo ni story kama story lq sivyo Afrika ingedelea mfano wa MisriUnaifahamu historia ya kemet/Misri , amabayo hapo kabla ilijulikana land of blacks Ambayo haijachakachuliwa na hao white supremacists?
Unafaham kemet/Misri ilitawala Dunia Kwa miaka mingi uko nyuma? Unafaham wa Arabu ni Wafamizi North Africa na Egypt ya Leo?
Unafam pyramids zilizopo Misri, Sudani, na Ethiopia zimejengwa na watu weusi, na Hadi Leo hawana jibu zilijengwa vipi, na unafaham hesabu ilitumika kujenga hizo pyramids?
Unafaham Kemet/Misri ilistarabika mapema zaidi ya Ulaya? Unafaham wana Filosofia wa Magharibi walikua wakisafiri kuja kujifunza Kemet/misri?
Unakifahamu kitabu Cha the book of the coming forth by day/ book of the dead , Kiliandikwa na watu weusi?
Unafaham maktaba ya Alexandria iliyochomwa moto na wazungu wakishirikiana na ndugu zao wa arabu, kupoteza asili ya mtu mweusi na yote aliyo yafanya hapo kabla, na wakaiba vitabu vyote vilivyokua vinaelezea sayansi na teknolojia wanayotumia hivi sasa kufanya uvumbuzi, na vilivyobaki wakavitia moto?
Unafaham kuanguka kwa kemet/ misri ndio ulikua mwanzo wa Afrika kutawaliwa na kuchukuliwa watumwa?
Unafaham wazungu wanavyotumia nguvu kubwa kupindisha historia ya Mtu mweusi Ili aendelee kujiona Duni, na awatawale milele?
Unafaham gunduzi zinazofanyika Misri ya Leo hazitoki hadharani Hadi ziwe white washed?
Usijidharau ndugu, hapo kabla tulitawa kianzia Afrika, Amerika Hadi Elaya, tawala zinainuka na kuanguka, zama za hao westerners zinaenda kufika ukingoni, Afrika inanyanyuka tena.
Ukipitia comments zangu huko juu utaona, sijapinga kitu.ah sasa mjomba walio upande wa mleta mada wapinge nn? wapinge wanaompnga mleta mada wao ndio wapinge kwa hoja
Ndugu zangu msiniue 😁😁 naziona athari za wazungu kuandika historia yetu hadi kufuatilia inakuwa shidaKama ka nchi kadogo kama Uingereza katika kilele cha himaya yake miaka ya 1920 kalikuwa kanatawala robo ya dunia, Kutokea Marekani, Africa, Uarabuni mpaka Mashariki ya mbali kabisa wewe bado huoni uwezo wao mkubwa sana wa akili??!
Na bado wanafikilia waturudishie ile version ya zamaniYaani wao ndo watu update sisi?😀😀
Ndo maana wanatuendesha watakavyo
Baada ya kuanguka Kwa Misri ya kale, watu weusi wakasukumwa south/sub Saharan, kama makundi makundi ya kikabila ambayo hayakuwa well organized, kwenye hiyo migration ndio tukapata Bantu migration,Kwa mantiki hiyo South Africa mgeni wa kwanza kuja alikuwa mreno na wapili mu holland aliyeweka makazi alikuta Afrika bado wapo nyuma kwa kila kitu usiende mbali hapa kwetu napo hilikuwa hivyo hivyo so hapo hayo maalifa ya Misri yalishindwaje kuwafikia mababu zetu so hizo ulizo andika hapo ni story kama story lq sivyo Afrika ingedelea mfano wa Misri
Na bado umepoteza muda wako ku comment, huu pia ni mfano wa ufinyu wa akili unaozungumzwa hapa.Upuuzi mtupu
Alikuwa sahihi kabisaView attachment 2356306View attachment 2356307
Huyu alijaribu kuibua huu mjadala katika ngazi za juu kabisa watu hawakutaka kumsikiliza kabisa
Juzi juzi nilikuwa huko wilaya ya Uvinza, Vijiji vya mgambo na vingine ambavyo viko very close na ziwa Tanganyika lakini watu wanahangaika hakuna maji.Ukweli mtupu. Tumepewa kila kitu lakini ni wajinga wakutupwa
Kuna mtu anaiba fedha za umma zaidi ya bilioni 500, mfano vitongoji huko Nigeria, akina Mobutu etc Sasa huyu mtu anachukua fedha nyingi za umma ambazo wala hataweza kuzitumia na kuimaliza. Mtu kama huyu unadhani ana akili nzuri??Hii argument ni non sequitur. Ni bunch of unrelated words.
Personal priority za mtu sio kigezo cha mtu kuwa na akili kuzidi mwingine, unless wewe uwe unafikiria hivyo.
Ni sawasawa na kusema mtu anayenunua pikipiki ana akili kuliko anayenunua gari, it doesn't make any sense!
Hivi unapozungumzia akili unadhani unaongelea nini?
Kwako akili ina maana gani exactly?
Kwa jinsi ulivyojieleza hapa huu ni mfano mzuri wa ukosefu wa akili ulio nao. Una haki ya kujisikia vibaya kuambiwa hivyo but the truth is the truth. Uwezo mkubwa wa akili ya mtu huwa reflected kwenye tabia na matendo ya mtu husika.Kukubali kuambiwa huna akili bila kuhoji ni evidence tosha kwamba wewe huna akili.
Tabia binafsi na akili ni vitu viwili tofauti.
Hivi mkuu unapoongelea akili unakuwa unamaanisha nini hasa?
Hebu itetee hoja yako hapo.
Hana akiliKuna mtu anaiba fedha za umma zaidi ya bilioni 500, mfano vitongoji huko Nigeria, akina Mobutu etc Sasa huyu mtu anachukua fedha nyingi za umma ambazo wala hataweza kuzitumia na kuimaliza. Mtu kama huyu unadhani ana akili nzuri??
Hili nalo unalolisema hapa ni moja ya udhaifu, japo binafsi sidhani kama hili ni uthibitisho kwamba waafrika wana akili ndogo. Tukitumia hii hoja yako ya kuandika historia, kama kipimo cha akili naomba nikujibu ifuatavyo tu: Wenyeji wa Marekani (The Natives/The Inca People) waliweza kutengeneza utamaduni mkubwa sana na ulio bora bila hata kuwa na maandishi kama ya watu wa Magharibi.kabla ya huko kote nikuulize unaifahamu historia ya babu zako ya tangu karne ya 9? km mtu mweusi hakuandika ht historia yake mwenyew utaona ukubwa wq tatizo
Hakuna kabisa kinachotesa, ila hali tuliyo nayo inafikirisha! Kaa hapo ulipo na kuanza kutafakari, bila mzungu ungekua umevaa magome ya miti, hauna umeme, hauna simu ya mkononi, TV,hauna usafiri, orodha ni ndefu mno!Sijui ni kitu gani kinachowatesa. Na wasiwasi ni hiyo genetics zenu za Ulaya.
Mhame nchi muende kwa hao wazungu hamlazimishwi kuwa hapa Tanzania.
Kama hoja ya utajiri ni umasikini basi naomba nikujibu tu:dunia kuna maskini na tajiri huwezi badilisha kamwe... waafrika ni zero IQ
naweka list hapa la watu wenye IQ
1.Mzungu
2.mchina/mjapan/korea
3.Muhindi
4.mwarabu
5.mwafrika.
waarabu na waafrika hawajapishana sana chunguza vizuri.
Mkuu umenenaKuna kipindi (The Medieval Age/ Dark Ages), wakati Asia iko kwenye mwanga, Ulaya ilikuwa ni sehemu iliyojaa uchawi, magonjwa na vita. Wazungu walikuwa ndiyo watumwa wakubwa wa kifikra, kama ambavyo Afrika ipo leo hii. Walipenda sana dini na ushirikina.......
Kipindi hicho walioifanyia dunia mambo makubwa ya kisayansi walikuwa ni waarabu wa Baghdad (The Abbasid Caliphate). Ambao wao ndiyo walianzisha mbinu ya kisayansi (The Scientific Method) ambayo dunia hii inatumia mpaka leo.
Wasomi wa kiislamu ndiyo walianzisha mfumo mzima wa kuweka sifuri kabla ya namba, wakiitoa hii mbinu kul India, tofauti kabisa na walichofanya Wagiriki. Falsafa zilizopotea kwenye maktaba ya Alexandria (The Museon) zilikuwepo zikifundishwa kule Baghdad.
Lakini, leo hii ukiambiwa kwamba waarabu ndiyo walioanzisha vitu muhimu kama Algebra, nadhani huwezi kukubali hata kidogo. Hii ndiyo historia ilivyo (It's never linear).....
Tatizo naloliona kwetu Waafrika ni kutaka kuruka hatua za maendeleo na kutaka kuishi kama watu wa Magharibi. Hamtafanikiwa na mtaishia kupiga mbizi kwenye lami tu.
Ulaya kufika hapa ilipo, iliwachukua miaka isiyopungua 1500, iliyokuwa imejaa giza, magonjwa, vita, mauaji makubwa, udikteta, ufisadi na mengineyo. Hivyo, haya mnayopitoa Waafrika siyo mapya, na lazima myapitie kwasababu hamuwezi kuruka hatua za kimaendeleo....
Yaani Tanzania imekuwa taifa mwaka 1964, haina hata miaka 100, halafu leo hii mtake kuwa kama Waingereza wenye taifa lenye miaka zaidi ya 800 kweli ????
Mbaya zaidi wajama kama Mwalimu Nyerere waliwaaminisha waafrika wengi kwamba maendeleo ni uchumi tu (Materialism), wakisahau kwamba manedeleo ya binadamu pia yako kijamii na kisiasa. Ndiyo maana utashangaa nchi za fulani zimepiga hatua kubwa kiuchumi lakini watu wake wanaishi kwa hofu kubwa na bado hawajastaarabika........
NB: Huwezi kuruka hatua za maendeleo. Nchi za Afrika (As political entities) ni changa mno bado.....
Namaelezo yote mazuri,na historia nzuri uliyoitoa, imesaidiaje mtu mweusi! Bado tulifungwa minyororo tukaingizwa kwenye meli! Maybe with very minimal resistance !Hili nalo unalolisema hapa ni moja ya udhaifu, japo binafsi sidhani kama hili ni uthibitisho kwamba waafrika wana akili ndogo. Tukitumia hii hoja yako ya kuandika historia, kama kipimo cha akili naomba nikujibu ifuatavyo tu: Wenyeji wa Marekani (The Natives/The Inca People) waliweza kutengeneza utamaduni mkubwa sana na ulio bora bila hata kuwa na maandishi kama ya watu wa Magharibi.
The Inca People, walitumia nyuzi na kuzifunga vifundo kama mbinu ya kuwasiliana. Hii jamii ndiyo ilifanikiwa kujenga mji mkubwa wa kihistoria duniani uitwao The MACHU PICCHU. Kwanini umeajiaminisha kwamba mpaka uweze kuandika historia kama wenzake ndiyo uwe na akili ????
Pia, niwazungumzie Berbers ambao hapo kale kabla ya waarabu kuja Afrika, walijiita The Amazigh People (Free-People). Eneo lote la The Maghreb kipindi hicho linaitwa Tamazgha, halikuwahi kuwa na jamii iliyokuwa na maandishi, isipokuwa wale berbers wa Libya ambao walitengeneza maandishi yao yaitwayo The Tifinagh Script. Hawa watu ndiyo walikuwa wafalme wa nchi kama Numidia, Mauretania, Almoravid & Almohad Caliphates.
Je, kuandika historia ndiyo sababu pekee ya kusema kwamba mweusi hana akili ???
Jawabu la hili swali ni gumu kulijibu, kwasababu moja ya njia kuu ya kutunza historia ni kupitia masimulizi ya kale ya midomo (Oral Traditions). Fasihi ni moja ya njia kuu, ambayo waafrika wa kale tulitumia katika kutunza historia na kumbukumbu. Pia wasomi nguli kama Wole Siyinka wanasema kwamba Fasihi pia ilikuwa ni moja ya njia iliyotumika kama mfumo wa sheria (Ethical Structure).
Hebu jiulize, haya maswali rahisi tu:
1. KISUKUMA kina miaka zaidi ya 100 na hakijaandikwa popote, lakini kwanini watu wanakifahamu bado ??
2. Matambiko ya kikabila yana miaka zaidi ya 200, hayakuandikwa popote. Kwanini watu wanayajua bado ?