Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabla ya huko kote nikuulize unaifahamu historia ya babu zako ya tangu karne ya 9? km mtu mweusi hakuandika ht historia yake mwenyew utaona ukubwa wq tatizoSlaves mentality imeharibi watu AKILI sn especially katika bara la AFRICA na hii itachukua miaka mingi sn kuondokana na akili hii ukisoma hizi comments hamu utangundua tuna safari ndefu sn white people wameweza kubadilisha akili ya mtu
Umepita mule mule:Alietuumba alikuwa na mpango huu sisi tuwe watumishi wa watu weupe tufanye kazi mashambani na viwandani na ndo maana unaona tumeumbiwa mwili wenye nguvu na unahimili hali zote mbaya
Ila baadae hao watu weupe walijichanganya wakaenda kinyume na alietuumba wakatupatia elimu na wakaanza kupigania haki zetu
Nahisi hata huo moto sisi hatugundua. Haiwezekani akili nyeusi hizi tuwe tuligundua moto. Moto ni moja ya gunduzi kubwa duniani kuwahi kubadilisha maisha. Sio style yetu weusi kufanya gunduzi kubwakubwa.Ukweli unauma! Inabidi ukubali Mwenyezi Mungu aliumba Africa race kuwa katika kiwango cha chini, au kwenye evolution waafrika bado tuko kiwango cha chini kwenye mfumo wa evolution.
Uwezo wetu wa kufikiri na kubuni ni mdogo mno!
Nadhani kwenye process ya evolution tulikomea kungundua moto, sana sana akili zetu bado ziko stone age, hata Iron age tulianza kuingia ndio mzungu akatokea.
Maana kama tungeingia Iron age, waafrika tungekuwa na silaha za kumzuia kututawala.
Miaka 60 toka kwa mkoloni na kutupa elimu bado ni kama tuko bado mapangoni.
Intellect yetu imekwama!
Hivi ndugu yangu umewahi kusafiri kutoka kwenda kokote kule Nje AFRICA kama ulivyo weka hiyo list umewahi kufika Nchi yoyote kati ya hizo ulizo weka list hapo popote ili comment yako ipate msisitizo kwamba ni kweli.dunia kuna maskini na tajiri huwezi badilisha kamwe... waafrika ni zero IQ
naweka list hapa la watu wenye IQ
1.Mzungu
2.mchina/mjapan/korea
3.Muhindi
4.mwarabu
5.mwafrika.
waarabu na waafrika hawajapishana sana chunguza vizuri.
Ni bora kutawaliwa na mzungu kuliko na mtu mweusi mwenzako.Unaonaje tukatafuta mzungu akutawale kwanza maana bado hujaelimika,hao unao waona wana akili ndo walisema hapo zamani ulikuwa nyani,swali tu ulisha wahi kumuona nyani kajenga nyumba?.
Ni hayo tu pia nikukumbushe usitumie kichwa kama kifuniko cha shingo.
Uwe na siku njema.
Huenda, ila hakuna wa kumkamata huyo jamaa. Never ever! Na hakuna mwenye jeuri ya kumnyang'anya uhuru huo.!Ndugu, unajua uhuru wa kutoa maoni uliopewa na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania bado uhuru huo unaweza kunyang'anywa kwa upande mwingine???????
Nb: Katiba imekupa uhuru wa kutoa maoni upande wa kulia kisha ikakupukonya upande wa kushoto.
Mtu mweusi hata azaliwe wapi atakuwa limbukeni tuMuafrika hana akili ndogo Ila ile yale mamia ya miaka ya utumwa, ukoloni na bado huu ukoloni mamboleo ambao walio juu yetu wanaukumbatia. Itachukua mamia ya miaka kuuondoa ili kupata generation mpya ya waafrika walio huru kama wale ambao hawakuathiriwa na vitu nilivyovitaja hapo juu
ni mtu mweusi mkuu ndio mlengwa hapa, watu ambao asili yao ni kusini mwa jangwa la saharaSasa mbona unasema mtu mweusi? Sema mtanganyika. Mtu kasoma morogoro mpaka advance, katoka hapo kaenda chuo morogoro kisha akapata kazi mbeya unategemea nn.
R Kelly je?Hakuna mwafrika limbukeni kama bondia mayweather
Shukrani Kwachango mzuri,hoja nzuri!
ila nadhani sio kuwa tumepunjwa akili. kwa bahati mbaya mifumo yetu ya zama za kale, sio utawala sio uchumi, yote imeuliwa na mkoloni.
cheki hii video, inaweka shida zote tulizonazo kama waafrika sehemu moja! kwa bahati mbaya, hatuna ujanja kukwepa pia, hio ndio shida kubwa!
kiukweli sisi Waafrika tupo vizuri na wabunifu sana sema kwa muda mrefu utawala wa kikoloni umeturudisha nyuma mno! na katika mifumo mipya, baadhi ya waafrika wenzetu wanaendeleza mifumo ya kikoloni na bahati mbaya zaidi, pesa ilipoingizwa kwenye mfumo wa malipo duniani ndio kabisa waafrika wamepotea kwenye chati. ila siri kubwa ya mafanikio ya mwaafrika ni kwenye kilimo. sisi ndio wenye ardhi ambayo tunawezalisha dunia lakini vipingamizi ni vingi hasa lugha na sayansi inayotumika katika uboreshaji ni chenga sana.
kuna mambo mengi Waafrika wamegundua alafu sifa zinaenda kwa mtu mweupe! bahati mbaya kwenye michezo hamna jinsi ya kumpokonya Mwafrika sifa na juhudi zake kwani zinaonekana na ndio maana sehemu kubwa hapo kwenye michezo tuna shine sana!
swala la maendeleo, uongozi yote hayo ni mifumo iliyowekwa na mkoloni. mkoloni akiona kuna mweusi anakipaji kuliko wenzake basi sifa nyingi na kumpelekea dada/kaka yetu kuleta dharau. iwe kwenye elimu ama kipato...
kiufupi, mkoloni ilibidi akae chini afikiria njia nyingine ya kututawala ambapo kaneno "uhuru" katatumika. ni wachache waliogundua na ndio kama tunavyojua, hao hua hatukai nao muda mrefu (naongelea janga linalokumba bara la Afrika hapa)!
tumepotea SANA ila ipo siku atatokea MTU ambaye atajaribu kufanya mageuzi "at a great cost" kama wenzake ila atasikika ulimwengu mzima!
achana na hao kina gadafi, mtu mweusi km mtu mweusi hajafanya kitu chochote kilicholeta mapinduzi dunia hii, tumesoma akina pythagoras, archimedes mpk kizazi cha kina newton na enstein.....hukuti mtu mweusi huko, mtu mweusi hana hata historia ile ya kusema mwaka68 BC kulikua na watu somewhere tanganyika wakifanya 1,2.3 ila jamii zingine maendeleo yao unaweza kuyatrace tangu muda huo na bbu zao waliandika hizo historia ambazo zipo mpk leo, tatizo la tu mweusi limeanzia mbali kwann huyu mtu mweusi ye hana hata historia na hajashiriki katika mapinduzi makubwa ya sayansi na hisabati? ana tabu gan huyu?Hatuja punjwa Akili mzee..ila tulizidiwa Akili wakati waarabu na wakoloni wanakuja kuchunguza Bara letu tukadhani wamekuja kwa nia njema bila kutafakari kwa kina ujio wao..Wazee na mababu zetu niseme na kuwaita walikuwa VILAZA, wapumbavu, wajinga na wakakosa umoja waka anza kusalitiana wao kwa wao...yani Machief wetu walishiriki
Waafrika wenye Akili walikuwepo kina Muammar Gadaffi, Nkurumah, wanaharakati weusi kina Malcolm x, Martin Luther king Jr, Muhammad Ali, walitoa michango mikubwa sana kutaka AFRICA iungane tuwe kitu kimoja, sema kutokana na Akili za waafrika wengi zilivyo za kijinga, kimaskini, zenye chuki binafsi,ukabila,uchu wa madaraka Zinachangia kuzima na kukatisha tamaa za Waafrika wachache wenye Akili na upeo kuendeleza mapambano ya Afrika kuungana...mfano ni sisi wenyewe watanzania tulimpinga sana Magufuli kisa tu ali ingilia uhuru wa wahujumu uchumi,ajira hewa.. vibaraka wa wazungu....Kwa ufupi ni kwamba mchawi wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe tangu zamani.
Hata wasingeleta tungeyafikia kuteknolojiaElimu yenu ni ya kupekecha vijiti na kuwasha moto tu kubanika nyama. Haya mengine tumeletewa tu
Umedanganyika,Usitudanganye..achana na hao kina gadafi, mtu mweusi km mtu mweusi hajafanya kitu chochote kilicholeta mapinduzi dunia hii, tumesoma akina pythagoras, archimedes mpk kizazi cha kina newton na enstein.....hukuti mtu mweusi huko, mtu mweusi hana hata historia ile ya kusema mwaka68 BC kulikua na watu somewhere tanganyika wakifanya 1,2.3 ila jamii zingine maendeleo yao unaweza kuyatrace tangu muda huo na bbu zao waliandika hizo historia ambazo zipo mpk leo, tatizo la tu mweusi limeanzia mbali kwann huyu mtu mweusi ye hana hata historia na hajashiriki katika mapinduzi makubwa ya sayansi na hisabati? ana tabu gan huyu?