Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Huu ni ukweli mchungu,
Ila bado inahatajika utafiti zaidi kujua kwa nini Mwafrika amekuwa nyuma sana katika eneo la uvumbuzi wa teknolojia hasa kuanzia karne ya 18. Huenda kuna sababu za mazingira/jiografia na Historia ambazo ziko nje kabisa ya uwezo wake.
mkuu huko mbali sn, historia tu hatuna historia yetu ya tangu kabla yesu hajazaliwa ina maana babu zetu hawakuandika historia tukaja kuikuta? km hawakuandika historia kwann?
 
Sijui ni kwamba hata kusoma hatupendi au hata uwezo wetu wa ku focus/attention bila kulazimika nao ni mdogo. Waafrika wengi wanasoma ili wapate vyeti na kazi tu.

Unaweza ukasafiri mwaka mzima kwa bus, meli, treni au ndege usikutane kabisa na mtu mweusi akiwa hata ameshika tu kitabu.
mkuu huko mbali sn, historia tu hatuna historia yetu ya tangu kabla yesu hajazaliwa ina maana babu zetu hawakuandika historia tukaja kuikuta? km hawakuandika historia kwann?
 
Mtu mweusi vyake ni vidogovidogo na sifa za kutukuzwa kwenye critical thinking capability hatupo!

Wewe nwenyewe hapo ukipatiwa kajumba, Kagari na uhakika wa ugali, pia ukiwa juu ya ndugu zako kiuchumi unakuwa mwendo umeumaliza!😁😁😁
Kweli kabisa. Mimi ni mtu ambaye naridhika na kitu kidogo tu.
Hili ni tatizo pia
 
Hii inaweza kuwa kweli kwa zaidi ya 85%.
Mtu mweusi vyake ni vidogovidogo na sifa za kutukuzwa kwenye critical thinking capability hatupo!

Wewe nwenyewe hapo ukipatiwa kajumba, Kagari na uhakika wa ugali, pia ukiwa juu ya ndugu zako kiuchumi unakuwa mwendo umeumaliza![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna kipindi (The Medieval Age/ Dark Ages), wakati Asia iko kwenye mwanga, Ulaya ilikuwa ni sehemu iliyojaa uchawi, magonjwa na vita. Wazungu walikuwa ndiyo watumwa wakubwa wa kifikra, kama ambavyo Afrika ipo leo hii. Walipenda sana dini na ushirikina.......

Kipindi hicho walioifanyia dunia mambo makubwa ya kisayansi walikuwa ni waarabu wa Baghdad (The Abbasid Caliphate). Ambao wao ndiyo walianzisha mbinu ya kisayansi (The Scientific Method) ambayo dunia hii inatumia mpaka leo.

Wasomi wa kiislamu ndiyo walianzisha mfumo mzima wa kuweka sifuri kabla ya namba, wakiitoa hii mbinu kul India, tofauti kabisa na walichofanya Wagiriki. Falsafa zilizopotea kwenye maktaba ya Alexandria (The Museon) zilikuwepo zikifundishwa kule Baghdad.

Lakini, leo hii ukiambiwa kwamba waarabu ndiyo walioanzisha vitu muhimu kama Algebra, nadhani huwezi kukubali hata kidogo. Hii ndiyo historia ilivyo (It's never linear).....

Tatizo naloliona kwetu Waafrika ni kutaka kuruka hatua za maendeleo na kutaka kuishi kama watu wa Magharibi. Hamtafanikiwa na mtaishia kupiga mbizi kwenye lami tu.

Ulaya kufika hapa ilipo, iliwachukua miaka isiyopungua 1500, iliyokuwa imejaa giza, magonjwa, vita, mauaji makubwa, udikteta, ufisadi na mengineyo. Hivyo, haya mnayopitoa Waafrika siyo mapya, na lazima myapitie kwasababu hamuwezi kuruka hatua za kimaendeleo....

Yaani Tanzania imekuwa taifa mwaka 1964, haina hata miaka 100, halafu leo hii mtake kuwa kama Waingereza wenye taifa lenye miaka zaidi ya 800 kweli ????

Mbaya zaidi wajamaa kama Mwalimu Nyerere waliwaaminisha waafrika wengi kwamba maendeleo ni uchumi tu (Materialism), wakisahau kwamba manedeleo ya binadamu pia yako kijamii na kisiasa. Ndiyo maana utashangaa nchi za fulani zimepiga hatua kubwa kiuchumi lakini watu wake wanaishi kwa hofu kubwa na bado hawajastaarabika........

NB: Huwezi kuruka hatua za maendeleo. Nchi za Afrika (As political entities) ni changa mno bado.....
 
Afrika ukiondoa Waarabu wa Afrika kazkazini nchi zote zina fanana
Yupo mtu mweusi mwenye historia kwenye hii dunia usihitimishe kiwepesi fanya tafiti utakutana nao.

Wewe sema mtanganyika uliokutana nao maana wapo watz wanaofanya mambo mazuri sana tu. Halafu hata wazungu kuna mipumbavu sana, miarabu ipo isiyo na kazi zaidi ya kupiganisha mbwa.
 
Uliyoeleza hapa mengi hayana mashiko au mantiki. Wazungu wakati wanakuja kuchunguza bara letu na mabara mengine walikuwa na meli kubwa za teknolojia ya hali ya juu kukatiza bahari maelfu ya kilometa kufika mabara mengine ya mbalia kabisa na kwao wakati sisi tukiwa na vimashua vya kuvua vibua na dagaa tu.

Walikuwa na ramani, walikuwa tayari na telescope, bunduki na mizinga ya kuweza conquer jamii nyingine kwa urahisi

Katika hali kama hiyo unaona wazee na mababu zetu tayari walikuwa wameachwa mbali sana.
Hatuja punjwa Akili mzee..ila tulizidiwa Akili wakati waarabu na wakoloni wanakuja kuchunguza Bara letu tukadhani wamekuja kwa nia njema bila kutafakari kwa kina ujio wao..Wazee na mababu zetu niseme na kuwaita walikuwa VILAZA, wapumbavu, wajinga na wakakosa umoja waka anza kusalitiana wao kwa wao...yani Machief wetu walishiriki kutoa taarifa nyingi sana na kuwapa wakoloni Kama taarifa za kiulinzi, majeshi,imani zao, walitoa taarifa zote muhimu na kuwa ambia waarabu na wazungu...Sasa baada ya waarabu na wazungu kupata taarifa zote muhimu wakarudi kujipanga sasa kwa Uvamizi..wakajua udhaifu wetu ni kukosa umoja hivyo wakazidi kutugawa na kutugombanisha na kuchochea chuki baina yetu...Mfano mdogo tu Mangi mandara wa wachaga alishirikiana na wajerumani ili tu amzidi Mangi Meli kiutawala ..Huu si ujinga huu.!!!...

Wazungu wao ni wajanja sana toka zamani waliweka tofauti zao pembeni wakaungana kwenye kila nyanja kiuchumi, kiulinzi, kifedha..ndio maana leo hii kuna Umoja wa Nchi za Ulaya (EU),wana umoja wa kujihami NATO,makao yote makuu ya nchi zote yapo kwao United Nations (UN),Benki kuu ya dunia(WB), mashirika makubwa yote ya kielimu, kiafya yapo kwao....

Waafrika wenye Akili walikuwepo kina Muammar Gadaffi, Nkurumah, wanaharakati weusi kina Malcolm x, Martin Luther king Jr, Muhammad Ali, walitoa michango mikubwa sana kutaka AFRICA iungane tuwe kitu kimoja, sema kutokana na Akili za waafrika wengi zilivyo za kijinga, kimaskini, zenye chuki binafsi,ukabila,uchu wa madaraka Zinachangia kuzima na kukatisha tamaa za Waafrika wachache wenye Akili na upeo kuendeleza mapambano ya Afrika kuungana...mfano ni sisi wenyewe watanzania tulimpinga sana Magufuli kisa tu ali ingilia uhuru wa wahujumu uchumi,ajira hewa.. vibaraka wa wazungu....Kwa ufupi ni kwamba mchawi wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe tangu zamani.
 
Mimi naona anao, angekuwa hana asingeandika aliyoandika. Sidhani kama kuna wa kumfanya chochote!
Ndugu, unajua uhuru wa kutoa maoni uliopewa na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania bado uhuru huo unaweza kunyang'anywa kwa upande mwingine???????

Nb: Katiba imekupa uhuru wa kutoa maoni upande wa kulia kisha ikakupukonya upande wa kushoto.
 
Slaves mentality imeharibi watu AKILI sn especially katika bara la AFRICA na hii itachukua miaka mingi sn kuondokana na akili hii ukisoma hizi comments hamu utangundua tuna safari ndefu sn white people wameweza kubadilisha akili ya mtu mweusi kuona kila kilicho cheupe (white ) ni kizuri na rangi nyeusi (Black) ni Laana na wali hakikisha hilo lazima lifanikiwe na kwakweli wamefanikiwa sn japo kuwa sasa watu wachache wenye kujitambua wameanza kujitambua lkn asilimia kubwa baado sn.

Mfano mdogo tu angali watu wanavyo jichubua ngozi ili awe mweupo na nywele za bandia na hata ukiangalia kwenye family huko ukipata mtoto anarangi nyeupo kidogo tu utasikia katoto keupo kazuri ni ujenga tu kwenda mbele.

Una mkuta mtu anatoa mfano wa BLACK AMERICA wapo huko dunia ya kwanza lkn mambo yao hovyo na wamejaa Jela hivi watu wanajua USA sheria zipo tofauti kati ya White people na Black people... na serikali imehakikisha there is no family structure among Black people in USA sababu wanajua strong society haiwezi kupatikana kama hakuna family structure.
 
Kama ka nchi kadogo kama Uingereza katika kilele cha himaya yake miaka ya 1920 kalikuwa kanatawala robo ya dunia, Kutokea Marekani, Africa, Uarabuni mpaka Mashariki ya mbali kabisa wewe bado huoni uwezo wao mkubwa sana wa akili??!
Muafrika hana akili ndogo Ila ile yale mamia ya miaka ya utumwa, ukoloni na bado huu ukoloni mamboleo ambao walio juu yetu wanaukumbatia. Itachukua mamia ya miaka kuuondoa ili kupata generation mpya ya waafrika walio huru kama wale ambao hawakuathiriwa na vitu nilivyovitaja hapo juu
 
Na ndo maana nachukia sana kwanini afrika tuliwahi kupata uhuru kabla hatujawa civilized. Mkoloni alikuja kuwacivilize waafrika na kuwafanya wawe modern lakini kiherehere kilituponza
hapana mkuu ht hio isingesaidia, angalia mwafrika kusini anafanya nn cha maana? sisi shida yetu ilianzia mbali
 
dunia kuna maskini na tajiri huwezi badilisha kamwe... waafrika ni zero IQ
naweka list hapa la watu wenye IQ

1.Mzungu
2.mchina/mjapan/korea
3.Muhindi
4.mwarabu
5.mwafrika.


waarabu na waafrika hawajapishana sana chunguza vizuri.
 
Back
Top Bottom