Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Sasa kama hata huelewi nilichoandika ndiyo utanielewa kweli??Kwahiyo upo hapo unaamini kabisa kuwa Bill Gates hana walinzi? Yaani katika nchi ambayo bunduki nje nje Bill Gates asiwe na walinzi?
Au shida yako ni "mabaunsa"?