mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
DuhNiliwahi sema na leo narudiia, "sisi Waafrika ni early version ya human being (old model), hivyo hatuna ubora kama wa wenzetu."
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhNiliwahi sema na leo narudiia, "sisi Waafrika ni early version ya human being (old model), hivyo hatuna ubora kama wa wenzetu."
Ni kweli kabisa aisee hasa aya ya 1Kuongoza nyeuthiz inabidi udikteta na sheria kali za kunyonga ziwepo, maana hatutaki kushirikisha ubongo.
Majitu yanahaha kutafuta kazi, yakipatA kazi hayatumikii, kazi umbeya, majungu, fitna, uwizi, na utoro, tukipata kiongozi ea kupeleka mchaka mchaka tushukuru Mungu kwakweli.
Amechukua tabia za kiafrika.Mbona Mark Zuckerberg ana magari mengi tu?
Na wahindi je, na wao si walikuwa watumwa jameni?Muafrika hana akili ndogo Ila ile yale mamia ya miaka ya utumwa, ukoloni na bado huu ukoloni mamboleo ambao walio juu yetu wanaukumbatia. Itachukua mamia ya miaka kuuondoa ili kupata generation mpya ya waafrika walio huru kama wale ambao hawakuathiriwa na vitu nilivyovitaja hapo juu
Duh
Ov
it was slavery, then colonialism, and now we are letting economic slavery into the door. In the past, we could make the excuse that our forefathers and fathers were not in a position to know or do anything about it. We can’t say the same thing now that we don’t know what is going on.Habari!
Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe?
Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe?
Narudi mezani napata jibu ni Mungu tu kwasababu zake mwenyewe ameamua kumpunja Mwafrika akili maana hata Waaafrika ambao wangezaliwa na kuishi huko Amerika na Asia hawaishiwi ulimbukeni na ushamba.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu Acacia, General manager alikuwa analipwa zaidi ya milioni 60 za Kitanzania kwa mwezi lakini alikuwa hataki kuitwa boss, alikuwa hana dereva wala body guard.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu pia huko Serengeti hotel moja ya gharama na nzuri sana. Ambayo 24 hrs gharama ya chini ilikuwa milioni 1.4 na sasa imepanda nasikia maana mimi niliacha baada ya kupata kibarua Serikalini. Hotel ambayo watu maarufu kama Bush, Beckham n.k hukosi kuwaona kule. Kule hakuna mtalii Mchina, Mhindi wala Mwafrika. Kule madoni walikuwa wanatumia mpaka milioni 20 per day.
General manager alikuwa analipwa pesa nyingi sana ila hakuwa na mlinzi kwake, alikuwa hataki kabisa kumuita boss.
Tukio la juzi la kuapishwa King Charles wa Uingereza mmeoana, hakuwa na mpambe wa kumsogezea daftari la mikataba, kiti alikisogeza mwenyewe.
Turudi Afrika sasa
• Kila mwanamuziki ambaye yuko kwenye chati tu mabody guards kama wote.
• Leo kazini msimamizi wako acha kumwita boss, muite jina lake la kawaida uone kama hutapewa kesi ya wizi wa mali za umma.
• Ufisadi na urasimu.
Afrika huwezi kusajili biashara siku moja, urasimu ni mwingi.
• Kesi inakaa mpaka miaka 7 ndo inatolewa hukumu hasa kesi ya mauaji. Baadaye mtuhumiwa anaachiwa huru kuwa hana hatia huku tayari kakaa mahabusu miaka 7. Mlipeni basi mabilioni ya kumfidia. Maana kumweka mtu ndani miaka saba si uuaji kabisa.
• Huku Afrika karibu kila Kiongozi wa nchi kila anaposimama au kukaa nyuma yake kuna AD kavaa nguo za kijeshi.
Aibu sana.
Mr IQ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwamba weusi wote ni slow and dumb.
Ila tunaongozwa na watu wenye low iq.
Wahindi hawajawahi kuwa watumwa kwa utumwa ambao mwafrika alipitia, walikuwa makoloni tu ya watu wengine na bado hawakuwa na rank ya mtu mweusi aliyopewaNa wahindi je, na wao si walikuwa watumwa jameni?
Ni shida ya mfumo mzima mkuuMkuu kuna mambo madogo sana ngazi ya chini kabisa kuanzia level ya familia, unaona kabisa watu namna ya watu wanavyoishi na kutenda, wewe unaangalia juu ila hata huku chini kabisa hali za hovyo, je na watu familia zao zinaongozwa na mataifa ya nje😂
Turawasingizia tu hawa wakina pua ndefu, ila tatizo kubwa kuliko yote ni ubinafsi.
Kila mtu anawaza kuiba iba, siku tukiacha ubinafsi waafrika tutapiga hatua kubwa sana.
Ubinafsi una maana pana na kubwa.
Usipokua mbinafsi huwezi kufanya mambo haya.
-Huwezi kutoa wala kupokea rushwa
-Huwezi kuwa na upendeleo kwa ndugu na jamaa
-Huwezi ingiwa na tamaa za kuiba iba
-Huwezi kung'ang'ania madaraka
-Ni rahisi kuwajibika pale unapokosea.
Adui wa mwafrica ni mwafrica mwenyewe, haya mengine kutafuta jumba bovu tu as always, wengine walitawaliwa na leo wamesonga mbele bila kuangalia scale ya utumwa sisi tumebaki tumelalama.Wahindi hawajawahi kuwa watumwa kwa utumwa ambao mwafrika alipitia, walikuwa makoloni tu ya watu wengine na bado hawakuwa na rank ya mtu mweusi aliyopewa
Asians popote walipokuwa walikuwa ni daraja la kati baina ya mwafrika na mzungu.
Hatuwezi kutumia mambo yaliyopita kwa karne kuhalalisha hali zetu lakini hatuwezi kuipuuza historia
Chanzo cha yote hayo ni hii elimu yetu 😁
Habari!
Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe?
Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe?
Narudi mezani napata jibu ni Mungu tu kwasababu zake mwenyewe ameamua kumpunja Mwafrika akili maana hata Waaafrika ambao wangezaliwa na kuishi huko Amerika na Asia hawaishiwi ulimbukeni na ushamba.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu Acacia, General manager alikuwa analipwa zaidi ya milioni 60 za Kitanzania kwa mwezi lakini alikuwa hataki kuitwa boss, alikuwa hana dereva wala body guard.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu pia huko Serengeti hotel moja ya gharama na nzuri sana. Ambayo 24 hrs gharama ya chini ilikuwa milioni 1.4 na sasa imepanda nasikia maana mimi niliacha baada ya kupata kibarua Serikalini. Hotel ambayo watu maarufu kama Bush, Beckham n.k hukosi kuwaona kule. Kule hakuna mtalii Mchina, Mhindi wala Mwafrika. Kule madoni walikuwa wanatumia mpaka milioni 20 per day.
General manager alikuwa analipwa pesa nyingi sana ila hakuwa na mlinzi kwake, alikuwa hataki kabisa kumuita boss.
Tukio la juzi la kuapishwa King Charles wa Uingereza mmeoana, hakuwa na mpambe wa kumsogezea daftari la mikataba, kiti alikisogeza mwenyewe.
Turudi Afrika sasa
• Kila mwanamuziki ambaye yuko kwenye chati tu mabody guards kama wote.
• Leo kazini msimamizi wako acha kumwita boss, muite jina lake la kawaida uone kama hutapewa kesi ya wizi wa mali za umma.
• Ufisadi na urasimu.
Afrika huwezi kusajili biashara siku moja, urasimu ni mwingi.
• Kesi inakaa mpaka miaka 7 ndo inatolewa hukumu hasa kesi ya mauaji. Baadaye mtuhumiwa anaachiwa huru kuwa hana hatia huku tayari kakaa mahabusu miaka 7. Mlipeni basi mabilioni ya kumfidia. Maana kumweka mtu ndani miaka saba si uuaji kabisa.
• Huku Afrika karibu kila Kiongozi wa nchi kila anaposimama au kukaa nyuma yake kuna AD kavaa nguo za kijeshi.
Aibu sana.
We as Black people are known for our PHDs – Pulling Him Down;Adui wa mwafrica ni mwafrica mwenyewe, haya mengine kutafuta jumba bovu tu as always, wengine walitawaliwa na leo wamesonga mbele bila kuangalia scale ya utumwa sisi tumebaki tumelalama.
Adui wa mwafrica ni mwafrica mwenyewe, haya mengine kutafuta jumba bovu tu as always, wengine walitawaliwa na leo wamesonga mbele bila kuangalia scale ya utumwa sisi tumebaki tumelalama.
We as Black people are known for our PHDs – Pulling Him Down;
Cheki Obama, P. Diddy, Jay Z 🤠🤠 BenKutaka kujua hilo angalia wamarekani weusi walivyokuwa wajinga pesa zao zinaishia kwenye kuvaa dhahabu kwenye Meno, cheni shingoni na magari ya kifahari yaani huwa mara najiuliza mwenyewe kuwa hawa jamaa Wana Akili kweli? Wamezaliwa Marekani lakini bado Akili zao ni fupi mno ndiyo maana jela zote za Marekani zimejaa watu weusi.
😊😊😊 Nitafute demu mzunguuuUkweli unauma but he was right. Sie waafrica race moja ya hovyo sana.
Mwambie ila kwangu mie ningekuwa nazo hata mdudu hajui kwa maana hamna jipyaHao weupe wamelelewa wamezikuta pesa na utajiri so kwao Hakuna kipya. Sisi wengi utajiri unakutana nao ukubwani baada ya kusota Sana ikiwemo kushinda njaa shuleni kilometa nyingi Sana.
So Who cares? Nonsense.Hao weupe wamelelewa wamezikuta pesa na utajiri so kwao Hakuna kipya. Sisi wengi utajiri unakutana nao ukubwani baada ya kusota Sana ikiwemo kushinda njaa shuleni kilometa nyingi Sana.
Soma mada uelewe Acha kudandiaSo Who cares? Nonsense.
Watu wanataka kuona matokeo whether you come from the Royal family OR from the humble Beginning, nobody cares at the end of the day.
Watu wenye mindset kama yako nawaonaga wapumbafu mno.
Kwani mtu kutafuta utajiri kwa kusota ni dhambi? Na angekuwa ana pesa kwa kuwa kazaliwa kwenye familia tajiri bado mngesema ni hela za kurithi, losers will always be losers.
Jamaa kaandika ukweli mtupu, ukiwa unabisha unazidi kuonesha jinsi akili zetu zilivyo duniUsichanganye mambo ngosha,ulinzi wa mkurugenzi sio sawa na ulinzi wa mkuu wa nchi, Waziri mkuu wa Japan aliuwawa kwa uzembe wa walinzi, makamu wa Raisi wa Argentina, chupu chupu auwawe kwa risasi, bunduki Ika goma.
Diamond hawezi kutembea bila walinzi, huku kwetu wanaotka kumzima ni wengi, hata boss wa Facebook,Trump, Dangote, Mo dewji wote wana walinzi. Kama mtu binafsi na vipesa vyake vya serikalini, anajenga fence kubwa,waya za umeme, mbwa wakali,bstora ndani, sembuse mtu mwenye mapesa yake.