Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Tuziflash bongo zetuHakuna mechanism ya kuwa updated mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuziflash bongo zetuHakuna mechanism ya kuwa updated mkuu?
How? 😅Tuziflash bongo zetu
Ukweli unauma but he was right. Sie waafrica race moja ya hovyo sana.Naunga mkono hoja mtu Trump alikuwa sahihi juu yetu watu weusi AFRIKA yote imejaa vituko...
Kwenye hili ndio huwa najuaga wale wanaovaa majoho wanajifanya wamesomea mambo ya haki huwa nawadharau sana.Kesi inakaa mpaka miaka 7 ndo inatolewa hukumu hasa kesi ya mauaji. Baadaye mtuhumiwa anaachiwa huru kuwa hana hatia huku tayari kakaa mahabusu miaka 7. Mlipeni basi mabilioni ya kumfidia. Maana kumweka mtu ndani miaka saba si uuaji kabisa.
•Huku Afrika karibu kila Kiongozi wa nchi kila anaposimama au kukaa nyuma yake kuna AD kavaa nguo za kijeshi. Aibu sana.
Ubora upi?sisi tumewazidi wazungu kiubora na uimara Kwa 3 component ikiwapo melanin,earth environments friendly.Niliwahi sema na leo narudiia, "sisi Waafrika ni early version ya human being (old model) hivyo haruna ubora kama wa wenzetu."
Mtu mweusi vyake ni vidogovidogo na sifa za kutukuzwa kwenye critical thinking capability hatupo!Kwahiyo mwenye asili kawa weak kichwani na uzao wake umekuwa weak mwilini?
Kukariri nako ni akili?Akili ya mwafrika mbona kubwa tu kuliko ya mtu mweupe,mfano sisi tunaweza soma kariri masomo mengi sana,wao hawawezi nadhani wametuzidi maarifa na sio akili
Hahaaa!!ni sokwe waliochangamka tu!!Sisi ni toleo la kwanza 😂😂😂
Inaitwa claiming capacityKukariri nako ni akili?
Umewahi kumuona Bill gate akitembea na mabaunsa? Acheni ulimbukeni na ushamba aiseeUsichanganye mambo ngosha,ulinzi wa mkurugenzi sio sawa na ulinzi wa mkuu wa nchi, Waziri mkuu wa Japan aliuwawa kwa uzembe wa walinzi, makamu wa Raisi wa Argentina, chupu chupu auwawe kwa risasi, bunduki Ika goma.
Diamond hawezi kutembea bila walinzi, huku kwetu wanaotka kumzima ni wengi, hata boss wa Facebook,Trump, Dangote, Mo dewji wote wana walinzi. Kama mtu binafsi na vipesa vyake vya serikalini, anajenga fence kubwa,waya za umeme, mbwa wakali,bstora ndani, sembuse mtu mwenye mapesa yake.
Tafadhali bro, akili yangu haijaishia kwenye kupekecha ulindi na ulimbombo 😁Elimu yenu ni ya kupekecha vijiti na kuwasha moto tu kubanika nyama. Haya mengine tumeletewa tu
Siyo KWA sababu hujawahi kumwona ndiyo hana Ulinzi .. Tafuta utaona /utajuaUmewahi kumuona Bill gate akitembea na mabaunsa? Acheni ulimbukeni na ushamba aisee
Hatuja punjwa Akili mzee..ila tulizidiwa Akili wakati waarabu na wakoloni wanakuja kuchunguza Bara letu tukadhani wamekuja kwa nia njema bila kutafakari kwa kina ujio wao..Wazee na mababu zetu niseme na kuwaita walikuwa VILAZA, wapumbavu, wajinga na wakakosa umoja waka anza kusalitiana wao kwa wao...yani Machief wetu walishiriki kutoa taarifa nyingi sana na kuwapa wakoloni Kama taarifa za kiulinzi, majeshi,imani zao, walitoa taarifa zote muhimu na kuwa ambia waarabu na wazungu.Habari!
Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe?
Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe?
Narudi mezani napata jibu ni Mungu tu kwasababu zake mwenyewe ameamua kumpunja Mwafrika akili maana hata Waaafrika ambao wangezaliwa na kuishi huko Amerika na Asia hawaishiwi ulimbukeni na ushamba.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu Acacia, General manager alikuwa analipwa zaidi ya milioni 60 za Kitanzania kwa mwezi lakini alikuwa hataki kuitwa boss, alikuwa hana dereva wala body guard.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu pia huko Serengeti hotel moja ya gharama na nzuri sana. Ambayo 24 hrs gharama ya chini ilikuwa milioni 1.4 na sasa imepanda nasikia maana mimi niliacha baada ya kupata kibarua Serikalini. Hotel ambayo watu maarufu kama Bush, Beckham n.k hukosi kuwaona kule. Kule hakuna mtalii Mchina, Mhindi wala Mwafrika. Kule madoni walikuwa wanatumia mpaka milioni 20 per day.
General manager alikuwa analipwa pesa nyingi sana ila hakuwa na mlinzi kwake, alikuwa hataki kabisa kumuita boss.
Tukio la juzi la kuapishwa King Charles wa Uingereza mmeoana, hakuwa na mpambe wa kumsogezea daftari la mikataba, kiti alikisogeza mwenyewe.
Turudi Afrika sasa
•Kila mwanamuziki ambaye yuko kwenye chati tu mabody guards kama wote.
•Leo kazini msimamizi wako acha kumwita boss, muite jina lake la kawaida uone kama hutapewa kesi ya wizi wa mali za umma.
•Ufisadi na urasimu.
Afrika huwezi kusajili biashara siku moja, urasimu ni mwingi.
•Kesi inakaa mpaka miaka 7 ndo inatolewa hukumu hasa kesi ya mauaji. Baadaye mtuhumiwa anaachiwa huru kuwa hana hatia huku tayari kakaa mahabusu miaka 7. Mlipeni basi mabilioni ya kumfidia. Maana kumweka mtu ndani miaka saba si uuaji kabisa.
•Huku Afrika karibu kila Kiongozi wa nchi kila anaposimama au kukaa nyuma yake kuna AD kavaa nguo za kijeshi. Aibu sana.
Mkuu uliwahi piga kazi acaccia ya gold mine hii hii ?Habari!
Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe?
Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe?
Narudi mezani napata jibu ni Mungu tu kwasababu zake mwenyewe ameamua kumpunja Mwafrika akili maana hata Waaafrika ambao wangezaliwa na kuishi huko Amerika na Asia hawaishiwi ulimbukeni na ushamba.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu Acacia, General manager alikuwa analipwa zaidi ya milioni 60 za Kitanzania kwa mwezi lakini alikuwa hataki kuitwa boss, alikuwa hana dereva wala body guard.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu pia huko Serengeti hotel moja ya gharama na nzuri sana. Ambayo 24 hrs gharama ya chini ilikuwa milioni 1.4 na sasa imepanda nasikia maana mimi niliacha baada ya kupata kibarua Serikalini. Hotel ambayo watu maarufu kama Bush, Beckham n.k hukosi kuwaona kule. Kule hakuna mtalii Mchina, Mhindi wala Mwafrika. Kule madoni walikuwa wanatumia mpaka milioni 20 per day.
General manager alikuwa analipwa pesa nyingi sana ila hakuwa na mlinzi kwake, alikuwa hataki kabisa kumuita boss.
Tukio la juzi la kuapishwa King Charles wa Uingereza mmeoana, hakuwa na mpambe wa kumsogezea daftari la mikataba, kiti alikisogeza mwenyewe.
Turudi Afrika sasa
• Kila mwanamuziki ambaye yuko kwenye chati tu mabody guards kama wote.
• Leo kazini msimamizi wako acha kumwita boss, muite jina lake la kawaida uone kama hutapewa kesi ya wizi wa mali za umma.
• Ufisadi na urasimu.
Afrika huwezi kusajili biashara siku moja, urasimu ni mwingi.
• Kesi inakaa mpaka miaka 7 ndo inatolewa hukumu hasa kesi ya mauaji. Baadaye mtuhumiwa anaachiwa huru kuwa hana hatia huku tayari kakaa mahabusu miaka 7. Mlipeni basi mabilioni ya kumfidia. Maana kumweka mtu ndani miaka saba si uuaji kabisa.
• Huku Afrika karibu kila Kiongozi wa nchi kila anaposimama au kukaa nyuma yake kuna AD kavaa nguo za kijeshi.
Aibu sana.