Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Yani tuna matatizo sana nyeuthiz.
Mfano mdogo tu humu jamvini, mtu akiweka uzi kukandia wizi wa watumishi, anaonekana mnoko, mbaya mwenye wivu, sasa watu wa hivi ndio wamejaa kwenye utumishi na uongozi, kama mtu anatetea uovu na kuona uovu ni jambo safi tutapiga vipi hatua kimaendeleo kwa jamii hii iliyojaa ubinafsi🤔