SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ukiwa unamaanisha nini haswa? Wacha ulimbukeni. Kwani kuvaa magome ya miti ni dhambi? Kiuhalisia sio lazima mtu kuishi uwe na umeme, sio lazima kuwasiliana na simu ya mkononi, Usafiri....unajuwa horsepower?Hakuna kabisa kinachotesa, ila hali tuliyo nayo inafikirisha! Kaa hapo ulipo na kuanza kutafakari, bila mzungu ungekua umevaa magome ya miti, hauna umeme, hauna simu ya mkononi, TV,hauna usafiri, orodha ni ndefu mno!
Usionyeshe ulimbukeni namna hiyo ndugu yangu.
Irrelevant. Sorry for your loss.Bibi ya kuke kijijini, nilipokuja toka shuleni na kumwambia mzungu mbaya,nusura achukue mwiko anipigie nao!
Aliniuliza leo unanisomea barua toka kwa baba yako,( baba yangu alikua Dar sisi tuko mkoani) aliniuliza lini uliona karatasi linaweka maneno,au linakuambia kitu.Akaniambia enzi zao mtu akiwa mbali hujui amekufa au mzima!
Baadaye nimemwelewa Marehemu bibi yangu!