Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

Sijaona kitu ulicho kiweka katika mada yako kinacho onyesha ya kuwa Wazungu wana akili kuwazidi Waafrika sababu uliyo yaweka hayaonyeshi kuwa na akili. Huo ni utaratibu tu wa mtu binafsi kama walivyo waafrika wengi wanafanya mambo kama uliyo yataja, lakini ajabu umewaongelea Waafrika wote, na ukamili kwa viongozi.

Haya uliyo yataja kwa Waafrika, Wazungu wanafanya maradufu.

Siku ukijua maana ya AKILI utawajua wenye akili ni kina nani. Ukute umeandika huku hujui maana ya AKILI nini ?

Nikirudi nitakuwekea sifa au ishara za kumjua mtu mwenye akili ni nani ?
 
Not irrelevant but practical...anyway tusubiri kujengewa vyoo na kupokea vyandalua! Maybe that is relevant!
Kweli iko kazi! Wanaoijua horsepower huwaoni! Angalau wameleta boda boda kusaidia kundi kubwa lisilo na ajiri! Tumebakia na theory tu ya what is horsepower! Kuweka practical ni kundesha boda boda! Ila wewe unaona sio nongwa!

Kama nilivyosema tusubiri kujengewa vyoo, na vyandalua! That is practical manifestation ya akili ya mwafrika.
 
Kama ukitaka tulizungumze hili, basi tutajadiliana zaidi pembeni....
Nimefurahi tumefanya mjadala mzuri mkuu....
Peace Out ✌️✌️✌️✌️✌️
 
Mwenye akili ni mtumwa wa asiyekua na akili. According to proton pump, (2022) [emoji2398]
 
Akili ni uwezo wa kuleta usawaziko wa fikra Ili uwe perfection ikiwemo utatuzi wa changamoto zinazokukabili
Kipi ni kipimo na vigezo sahihi vya perfection na nani amekiweka kwa malengo?
Na "utatuzi wa changamoto" unahusika vipi na uamuzi wa mtu kutaka au kutokutaka kuitwa boss?
 
Nina jamaa yangu tunasukuma nae Guta kwao ni huko kwa Babu.
Anasema:, katika kijiji chao kulikuwa na mashamba makubwa ya miwa yaliachwa na Alliens baada ya Babu kuwafukuza.

Baada ya babu( alale anapostahili) kuwafukuza yale mashamba yakamilikiwa na wapambe wa babu...anasema katika lugha yao ya taifa:, sugarcanes can be havasted 4 times and the fouth time you need to uproot them and put another crops. this is what we were seeing Whitemen doing before being chased away by Babu..bada ya hapo mashamba yakamilikiwa na makada wa babu(tutuchukulie kama makada wa ccm Tanzania) .
Wakavuna mvuno wa kwanza baada ya watu waupe kufukuzwa, Wakavuna wa pili, wa tatu hadi wanne.

Mivuno yote hiyo hakuna aliyekuwa na kumbukumbu kuwa hili ni shamba lina hitaji palizi mbole etc,kila mvuno pesa walikuwa wakiweka mfukoni, mwenye akili kati ya wapumbavu wenzake alibahatika kujenga nyumba, but hadi yale mashamba yanaaisha kwa maana ya kudumaa hakuna muendelezo uliofanywa na wamiliki wapya wapambe wa babu.

Miwa inaweza refuka hadi ft 12 lakini kwasababu kudumaa ikawa inakomea ft 2/3.
Mashamba ya miwa yakafa kwa staili hiyo, baada ya mashamba ya miwa kufa, wale wale walioyaua( wapambe wa merehemu babu) wakaanza kung'oa mabomba yaliyokuwa yaki- supply maji kwa hayo mashamba. Wanang'oa then wanaenda uza vyuma chakavu.
So, hadi sasa pale kijijini kwao yale mashamba yamekufa, yamebaki kuwa mapoli na wenye uwezo, wamechukua hema 2/3 huyu hapa analima mahindi, huyu hapa analima maharagwe, so kilimo cha mpangilio kama walichokuwa wanakifanya Alliens hakipo tena.
 
Probably Kuna sehemu tulikosea uko nyuma, spiritually

haiwezekani maisha tunayoishi wa Afrika asilimia kubwa yanafanana, hata akizaliwa nje ya Afrika. Afrika ili ufanikiwe una struggle Ile mbaya, tofauti na jamii nyingine,

Labda Mungu tunaemuabudu sio yeye, tunaomba baraka zinaenda Kwa wengine,

jamii zote nyingine Zina Miungu yao, wachina wana Budha, India Wana Miungu Yao, Wazungu Wana Miungu Yao, wa Arabu hivyo hivyo, ukija kwa Afrika, ni mvurugano, tumechanganywa na Imani za nje hatujui ipi sahihi, Imani zetu za kale zimesahaulika. Labda tuanzie hapo.
 
Nilifanya nukuu mkuu wa mchango wa member sio mawazo yangu haya ,kuhusu misri hilo liko wazi kabisa mbona mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tulipomcheka baba yetu akiwa amelewa baba akaacha laana utatawaliwa na ndugu zako shida ilianzia hapo someni biblia
 
Nakubaliana na ww kwa % zote
 
Viongozi wengi baada ya mataifa mengi kupata Uhuru waligeuka miungu watu kwa kujifanya Wana akili Sana ndio maana ilifika muda wengine wakajitangaza kuwa marais wa maisha Kama wakina Kamuzu Banda.

Viongozi ambao walikuwa na sifa tele kuja kupinduliwa Kama bwana Nkwame Nkurumah wa Ghana kwa sera mbovu na utawala wa hovyo,Tanzania na sera yetu ya ujamaa iliua Uchumi mpaka kufikia muda sukari ikawa bidhaa ya anasaa na watu kuvaa kaniki mpaka hivi Sasa huwezi ongea suala la umasikini Tanzania pasi kuangalia athari za ujamaa.

Viongozi wengine wasomi wakubwa kufanya Mambo ya hovyo ukilinganisha na elimu zao mfano ni Robert Mugabe na Zimbabwe yake

Ukiangalia kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kwamba Afrika ya wakoloni ilikuwa bora kuliko Afrika ya wakoloni weusi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kw nadharia hii mbona secret society zote, illuminati, freemasons, nk zime base ulaya na Amerika? zambi wanazofanya nchi za magharibi mbona ni nyingi kupita sisi, Mbona laana haiwapati.?

Kwa uono wangu mfupi, labda tuseme sisi ni wavamizi sio wakazi wa asili wa Dunia hii, kila tufanyalo nature inatutema,
 
Sikutaka kuipeleka mada hii uko...Nimrod is mysterious figure kwenye Bible, maybe ndio atakayekuja mwishoni kama Mpinga Kristo...

Anyway kama laana ya Mwafrika inatokea kufanya vita na Mungu through the tower of Babel basi tumekwisha.!

Maybe pia kama sisi ni uzao wa Nimrod, labda ndio maana tumenyimwa technology! Why knowledge ya Pyramid ilipotea! Why civilization ya Ethiopians ilipotea!
Nimekua na conversation recently about Nimrod nilipokuwa nasoma Bible Prophecy! Actually nilikua naanza kusoma deeply kuhusu yeye kabla ya mada hii...
 
Mkuu kwa madai ya hoja yako ya mwisho waafrika asili yao itakuwa wapi ? Au walitokea wapi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Comments zako zinatakiwa zichapishwe, halafu Kila mwanafunzi WA secondary hadi vyuo vikuu wazisome kwa lazima kwenye mitaala yao.
 
Wanga na mama jusi mmekaa macho mkisubiri mtoto azaliwe mfanye uharibifu na kupokonya alichopewa na God, tutakuwaje na akili kipindi mnatuweka stoo toka utotoni mwetu na kuacha kopi zikipuyanga tu.
Mnatu-remote mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…