Sijaona kitu ulicho kiweka katika mada yako kinacho onyesha ya kuwa Wazungu wana akili kuwazidi Waafrika sababu uliyo yaweka hayaonyeshi kuwa na akili. Huo ni utaratibu tu wa mtu binafsi kama walivyo waafrika wengi wanafanya mambo kama uliyo yataja, lakini ajabu umewaongelea Waafrika wote, na ukamili kwa viongozi.Habari!
Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe?
Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe?
Narudi mezani napata jibu ni Mungu tu kwasababu zake mwenyewe ameamua kumpunja Mwafrika akili maana hata Waaafrika ambao wangezaliwa na kuishi huko Amerika na Asia hawaishiwi ulimbukeni na ushamba.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu Acacia, General manager alikuwa analipwa zaidi ya milioni 60 za Kitanzania kwa mwezi lakini alikuwa hataki kuitwa boss, alikuwa hana dereva wala body guard.
Nimewahi kufanya kazi na Wazungu pia huko Serengeti hotel moja ya gharama na nzuri sana. Ambayo 24 hrs gharama ya chini ilikuwa milioni 1.4 na sasa imepanda nasikia maana mimi niliacha baada ya kupata kibarua Serikalini. Hotel ambayo watu maarufu kama Bush, Beckham n.k hukosi kuwaona kule. Kule hakuna mtalii Mchina, Mhindi wala Mwafrika. Kule madoni walikuwa wanatumia mpaka milioni 20 per day.
General manager alikuwa analipwa pesa nyingi sana ila hakuwa na mlinzi kwake, alikuwa hataki kabisa kumuita boss.
Tukio la juzi la kuapishwa King Charles wa Uingereza mmeoana, hakuwa na mpambe wa kumsogezea daftari la mikataba, kiti alikisogeza mwenyewe.
Turudi Afrika sasa
• Kila mwanamuziki ambaye yuko kwenye chati tu mabody guards kama wote.
• Leo kazini msimamizi wako acha kumwita boss, muite jina lake la kawaida uone kama hutapewa kesi ya wizi wa mali za umma.
• Ufisadi na urasimu.
Afrika huwezi kusajili biashara siku moja, urasimu ni mwingi.
• Kesi inakaa mpaka miaka 7 ndo inatolewa hukumu hasa kesi ya mauaji. Baadaye mtuhumiwa anaachiwa huru kuwa hana hatia huku tayari kakaa mahabusu miaka 7. Mlipeni basi mabilioni ya kumfidia. Maana kumweka mtu ndani miaka saba si uuaji kabisa.
• Huku Afrika karibu kila Kiongozi wa nchi kila anaposimama au kukaa nyuma yake kuna AD kavaa nguo za kijeshi.
Aibu sana.
Haya uliyo yataja kwa Waafrika, Wazungu wanafanya maradufu.
Siku ukijua maana ya AKILI utawajua wenye akili ni kina nani. Ukute umeandika huku hujui maana ya AKILI nini ?
Nikirudi nitakuwekea sifa au ishara za kumjua mtu mwenye akili ni nani ?