Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

Mimi naona kama wamechukua yale Mabehewa ya Kigoma wakapata rangi.....nyinyi mnaonaje ndugu zangu?
 
Haya si yaliagizwa tangu kitambo kabla ya Mama? Sema wanamfichia aibu tu marehemu
 
Mtakomaa...
Mnalia lia tuu humu Jamiiforum kama mazezeta na maoga.
Eti mnaogopa kukamatwa na polisi
Mnaogopa Jela.

Acheni waibe na waibe mpaka akili iwakae sawa.

Kila kukicha mnaishia kulia lia hapa Jf.
Cccm acha iwakanyage mpaka mnyooke.
 
Zanzibar imejengwa kitu gani acheni propaganda za kitoto.
Sisi wenyew tunashida na miradi mikubwa munatukwamishwa nyinyi na roho mbaya zenu.
Mnataka miradi mikubwa ya nini wakati 50 - 80yrs ijayo kakisiwa kenu katakuwa kamemezwa na bahari sababu ya climate change? Kupoteza raslimali bure tu [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Hamuwezi kuingia Barabarani kulinda aridhi ya Babu zetu dhidi ya CCM tukae kimya watafune
 
Nilisha andika sehemu uzi wangu wakautupa. Mradi ccm ipo madarakani inchi tusahau kusonga mbele kimaendeleo maana ni wizi wizi wizi
Kama hamuwezi ingia Barabarani ni bora tukaungana na CCM tu, make njia pekee ya kuto ungana nao.ni Barabarani tofauto na hapo lets join them
 
WALITAFUTA SEHEMU PA KUYATUPIA MTANZANIA MMOJA AKAENDA KUYAOKOTA UKIANGALIA HATA MILIONI 500 KWA BEHEWA HAIFIKI
 
Nilijuuliza swali kama lako na nikajibiwa hizo behewa zina weza kupita katika njia zote mbili na nimeziona tangu zinatoka bandari mpaka zonafika pale malind isitoshe mimi niko maeneo hayo ndio maana nakuambia acha ubishi usio na maingi
 
SGR ya Kenya siyo ya umeme. Ya Tanzania ni ya umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…