Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.

Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.

Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.

Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.

Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.

Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Kwahiyo mliandaa shoo ya dakika 90 za kuchezesha makalio!
 
kolo alwayz kolo tu
 
Sasa hii ni timu iliyo na mambo mengi ya ndani yasiyoisadia kwenye Mpira ni timu ya mpira au kikundi cha mahausi gelo?

Jitoeni kwenye mpira mkashiriki kwenye michiano ya hayo mambo ya ndani.
 
Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.

Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.

Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.

Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.

Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.

Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Shauri yenu sisi tunachojua tumewashenyeta mara tano mfululizo.
 
Sababu za aina hii kwenye mpira huwa hazina tofauti na zile imani za kishirikina. Yaani ni sababu za kufikirika, na zinazofaa kusimuliwa kwenye vijiwe vya kahawa! Na siyo humu jukwaani.
 
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa Simba kama hiki. Timu yao imeonekana kama ilikuwa inaikimbia Yanga ili wasicheze nayo, timu yao imeonekana haina mamlaka wala msimamo, wamefungwa mara tano mtawalia na watani wao wa jadi na wamemaliza msimu bila kombe lolote. Inauma sana
aiseeeee
 
1000046934-jpg.3385079
Yanga mna bahati Mpanzu hakucheza jana
 
Attachments

  • 1000046934.jpg
    1000046934.jpg
    232.1 KB · Views: 31
Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.

Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.

Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.

Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.

Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.

Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Wapumbavu sijui wataisha lini Tanzania.
 
Akili za kiswahili hizi za kujifariji. Umefungwa kwa kuzidiwa si kwa kutokutaka.

Kwanza hata hizo points 78 mmefikishwa na marefa hamkustahili. Mechi kama sita au saba mlibebwa waziwazi. Mechi dhidi ya Namungo, Pamba, Mashujaa, SBS, Coastal nk. Hivyo msijitoe akili. Vinginevyo mngeishia chini huko.
 
Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.

Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.

Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.

Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.

Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.

Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Kwa maana iyo Simba uwa aitaki kushinda derby kwenye mechi zote 4 mfululizo zilizopita mlizosokomezwa?
 
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa Simba kama hiki. Timu yao imeonekana kama ilikuwa inaikimbia Yanga ili wasicheze nayo, timu yao imeonekana haina mamlaka wala msimamo, wamefungwa mara tano mtawalia na watani wao wa jadi na wamemaliza msimu bila kombe lolote. Inauma sana
Bado masimango wanayopata
 
Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.

Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.

Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.

Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.

Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.

Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Mbumbumbu kafanye kazi, upate chai ya asubuhi
 
Pole sana mkuu.

mmezoea kubebwa na marefa wa mchongo.,
 
Umeonesha ujinga mwingi sana hapa,yaani wewe upambane msimu mzima Tena uko kwenye race ya ubingwa,uko nyuma Kwa point moja halafu ujifungishe mechi ya mwiso kweli?inaingia akilini? Kubwa jinga wee
 
Back
Top Bottom