Mnazidi kumpa pointi mzee rage kwa lile jina alilowapaInashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.
Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.
Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.
Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.
Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.
Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Kwahiyo Simba siyo timu ya mpira??
Maana siku hizi Simba kucheza mpira ni kama mnalazimishwa.
MO vs Viongozi janja janja
Kwendraaaaa..
YANGA BINGWA
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa Simba kama hiki. Timu yao imeonekana kama ilikuwa inaikimbia Yanga ili wasicheze nayo, timu yao imeonekana haina mamlaka wala msimamo, wamefungwa mara tano mtawalia na watani wao wa jadi na wamemaliza msimu bila kombe lolote. Inauma sana
Tukiacha ushabiki, simba hatuna team bora yakuleta ushindani.
Hamtoboi kwa mentality hii .
NOMA SANA.
Hamkutaka sio? Badala mfocus kujenga timu mnaleta uswahili, endeleeni hivi hivi Ili na sisi tuzidi kuwakunguta
Mods muwe mnafuta Uzi kama huu
katika papatupapatu,,bado hamjasema😂😂💚💛🧡
Kwa maana hiyo simba hatutaki makombe ?
Ni mpumbavu pekee atasema jana au siku zote simba haitaki kushinda Daby.. tukubali tu kwa sasa Simba hatuna timu ya kucompete navyura wametuzidi uongozi,fitna,quality ya wachezaji na nguu ya ushawishi.
Acha bwan watu wateme nyongo,, unataka wafe kwa depression
Sahihi: MO+viongozi janjajanja.
Maneno ya mkosaji hayo, Simba ana muda mrefu sana hajaweza kumfunga Yanga, kiboko ya Simba ni Yanga.
Akili za ccm ni mbaya sana
Siyo kweli Simba haikutaka Ubingwa bali ilikutana na Timu nzuri halafu kulikuwa hakuna Mbeleko.
Hivi simba huwa mna shida gani vichwani?
Kwanini hamkubaligi ukweli kamwe? Kukubali unaumwa ndio mwanzo wa kupona kenge nyinyi
Japo mimi Yanga ila wewe ni KOLO.
Kwahiyo mliandaa shoo ya dakika 90 za kuchezesha makalio!
kolo alwayz kolo tu
Toa maelezo mengi bakisha hiyo aya ya nne.
Sasa hii ni timu iliyo na mambo mengi ya ndani yasiyoisadia kwenye Mpira ni timu ya mpira au kikundi cha mahausi gelo?
Jitoeni kwenye mpira mkashiriki kwenye michiano ya hayo mambo ya ndani.
Wimbo pendwa wa Gamondi
Shauri yenu sisi tunachojua tumewashenyeta mara tano mfululizo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sayville bwana!
Sababu za aina hii kwenye mpira huwa hazina tofauti na zile imani za kishirikina. Yaani ni sababu za kufikirika, na zinazofaa kusimuliwa kwenye vijiwe vya kahawa! Na siyo humu jukwaani.
aiseeeee
![]()
Yanga mna bahati Mpanzu hakucheza jana
Wapumbavu sijui wataisha lini Tanzania.
Akili za kiswahili hizi za kujifariji. Umefungwa kwa kuzidiwa si kwa kutokutaka.
Kwanza hata hizo points 78 mmefikishwa na marefa hamkustahili. Mechi kama sita au saba mlibebwa waziwazi. Mechi dhidi ya Namungo, Pamba, Mashujaa, SBS, Coastal nk. Hivyo msijitoe akili. Vinginevyo mngeishia chini huko.
Pole sana mkuu.
Hakuna timu isiyotaka kuchukua kombe la ligi kuu
mmezoea kubebwa na marefa wa mchongo.,
Umeonesha ujinga mwingi sana hapa,yaani wewe upambane msimu mzima Tena uko kwenye race ya ubingwa,uko nyuma Kwa point moja halafu ujifungishe mechi ya mwiso kweli?inaingia akilini? Kubwa jinga wee
"wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikichokiongea kipo ndani ya ukweli. Wote mnakazania game ya derby ila nimeongelea hadi mechi kama za Singida na Kagera.Mnazidi kumpa pointi mzee rage kwa lile jina alilowapa
Comments reservedInashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.
Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.
Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.
Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.
Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.
Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Hata mi nashangaa muamala iliyoenda kwa kina Kayombo ilikuwa ya nini kama timu haihitaji uchampionKwa maana hiyo simba hatutaki makombe ?
Ni mpumbavu pekee atasema jana au siku zote simba haitaki kushinda Daby.. tukubali tu kwa sasa Simba hatuna timu ya kucompete navyura wametuzidi uongozi,fitna,quality ya wachezaji na nguu ya ushawishi.
ChaiInashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.
Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.
Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.
Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.
Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.
Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Comments reserved
Hata mi nashangaa muamala iliyoenda kwa kina Kayombo ilikuwa ya nini kama timu haihitaji uchampion
Sikurupuki kusema kitu bila uhakika. Wengine wameanza kusema hiki nilichosema.Chai
Bullshit.Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.
Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.
Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.
Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.
Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.
Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Mbeleko imechanikaSiyo kweli Simba haikutaka Ubingwa bali ilikutana na Timu nzuri halafu kulikuwa hakuna Mbeleko.
Maneno ya mkosaji hayo, Simba ana muda mrefu sana hajaweza kumfunga Yanga, kiboko ya Simba ni Yanga.
Imefikaje fainali ya CAF?Tukiacha ushabiki, simba hatuna team bora yakuleta ushindani.
Ungekaa tu kimya kuficha upumbavuInashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.
Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.
Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.
Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.
Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.
Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Sawa. Hadithi yako inatufundisha nini mtoto mzuri?Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.
Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.
Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.
Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.
Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.
Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Eti nini.???Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji.
Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba haikutaka kushinda ile mechi? Waliona chaka la uchovu lipo wakaamua kulitumia ila hiyo siyo sababu ya kweli.
Njoo mechi ya mwisho dhidi ya Kagera. Ile mechi ni bahati mbaya tu au kukosa umakini kwa wachezaji wa Kagera ila mipango ilikuwa iishe sare. Hili nalo kwa waliotazama mechi hauhitaji akili kubwa sana kulitambua.
Tuje sakata zima la derby. Ukweli ni kwamba Simba ilikimbia derby ya 08/03. Sababu kubwa ni kuogopa kufungwa kungeharibu morali ya timu katika mashindano ya CAF na Yanga angeweza kutangaza ubingwa mapema sana. Sababu hiyo ikakutana na sababu za kisiasa na pande hizi mbili zilipoungana kila mmoja akimtegemea mwenzake ndiyo kikapelekea kile kilichotokea.
Ukija mechi yenyewe ya jana. Baada ya kushindwa kupata sare katika mechi ya Kagera, jana hauhitaji akili kubwa kujua Simba hakuingia kwa hamu na shauku ya kutafuta ushindi. Tuweke mihemko pembeni, tuangalie kile kilichokuwa kinafanyika uwanjani toka kipindi cha kwanza, sub za Simba zilizofanyika, magoli yaliyofungwa, nk. utagundua mazingira yalitengenezwa na Simba wenyewe wasishinde ile mechi.
Wenyewe wanajua nini kinasababisha haya yote.
Bullshit.
Mbeleko imechanika
Usiwe unapenda timu kiasi hko... Yani mpaka ukweli unataka kuukataa, sasa utasadiwa vipi?
Ungekaa tu kimya kuficha upumbavu
Sawa. Hadithi yako inatufundisha nini mtoto mzuri?
Kila siku nawaletea uthibitisho wa kile nilichosema ila mnafumba macho na kuziba masikio hamtaki kuona wala kusikia.Eti nini.???
Hapo ushahidi upo wapi mtoto?Kila siku nawaletea uthibitisho wa kile nilichosema ila mnafumba macho na kuziba masikio hamtaki kuona wala kusikia.
View attachment 3388528
Mnadhani hiyo migomo inayoongelewa hapa ni migomo ya kula hiyo?
Kwani wajibu wa kulipa mishahara na bonus hauko wazi mpaka madai?Kila siku nawaletea uthibitisho wa kile nilichosema ila mnafumba macho na kuziba masikio hamtaki kuona wala kusikia.
View attachment 3388528
Mnadhani hiyo migomo inayoongelewa hapa ni migomo ya kula hiyo?
🤣🤣🤣MO vs Viongozi janja janja