MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni jambo la kushtusha sana.
Lema alijitokeza kutaka kuwatuliza vijana wa CHADEMA waliokuwa wakitukanana ila akaambulia kudharaulika kama ambavyo inavyosomeka kwenye screenshot. Kama mwenyekiti chama wa kanda anaweza kudharaulika kiasi hiki vipi mwenyekiti wa wilaya au mkoa? Hakika CHADEMA bado hakijajipanga kabisa kushika dola. Nadhani tuwape ACT ili wachukue nafasi ya chama kikuu cha upinzani.