Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni jambo la kushtusha sana.

Lema alijitokeza kutaka kuwatuliza vijana wa CHADEMA waliokuwa wakitukanana ila akaambulia kudharaulika kama ambavyo inavyosomeka kwenye screenshot. Kama mwenyekiti chama wa kanda anaweza kudharaulika kiasi hiki vipi mwenyekiti wa wilaya au mkoa? Hakika CHADEMA bado hakijajipanga kabisa kushika dola. Nadhani tuwape ACT ili wachukue nafasi ya chama kikuu cha upinzani.
View attachment 2961791
Hapo tusi liko wapi?Au nikupe moja utulie?
 
Bwashee acha kujaribu kututoa kwenye reli, hapa tunajadili suala la maadili kwenye chama. Unapaswa kukemea viongozi wakubwa wa chama chako kutukanana hadharani, tena mitandaoni.
Vipi wakituma watu kwa siri watukane ?
 
Sasa huo ndio kuonyesha chama kiko hai. Kwani maneno aliyosema Ndugai yangeleta madhara gani,kama yangepingwa kwa hoja zilizoshiba na akabakia kuwa spika? Huko Marekani wanaomkosoa Biden au Trump unafikiri wote ni wapinzani!! Ni uhuru wa mawazo na ndicho kitu muhimu sana kwenye nchi yoyote.
True
 
Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni jambo la kushtusha sana.

Lema alijitokeza kutaka kuwatuliza vijana wa CHADEMA waliokuwa wakitukanana ila akaambulia kudharaulika kama ambavyo inavyosomeka kwenye screenshot. Kama mwenyekiti chama wa kanda anaweza kudharaulika kiasi hiki vipi mwenyekiti wa wilaya au mkoa? Hakika CHADEMA bado hakijajipanga kabisa kushika dola. Nadhani tuwape ACT ili wachukue nafasi ya chama kikuu cha upinzani.
View attachment 2961791
Mbona heshima kubwa sana imetawala hapo?
 
We mama yule prezda alotukana wazee kuwa wanawashwa-washwa yeye alifundisha nini vijana??
 
Sasa unashangaa makada wa chadema kutukanana kwa jumbe za tweeter, lakini ushangai ushoga ndani ya ccm, katibu wenu chongolo kujipiga picha za utupu na kuzituma mitandaoni! Kwani chadema ni wawapi? Si wabongo kama wengine? Hatutaki chama cha mazombie kama ccm, kila kitu sawa, mzee,hata viongozi inabidi wapewe makavu wakikengeuia
 
Kwa hiyo kama wanaCCM walikosea inahalalisha nyie kukosea kama wao? Nyie ni CCM B? Kama ni CCM B si bora tuendelee kuchagua CCM Og badala ya copy?
We unaipemda chadema ifanye vyema kuliko ccm? Acha nafiki

Hata hii Habari umeileta kinafiki tu
 
Sasa unashangaa makada wa chadema kutukanana kwa jumbe za tweeter, lakini ushangai ushoga ndani ya ccm, katibu wenu chongolo kujipiga picha za utupu na kuzituma mitandaoni! Kwani chadema ni wawapi? Si wabongo kama wengine? Hatutaki chama cha mazombie kama ccm, kila kitu sawa, mzee,hata viongozi inabidi wapewe makavu wakikengeuia
Kwahiyo nyie hamna tofauti na CCM?
 
We mama yule prezda alotukana wazee kuwa wanawashwa-washwa yeye alifundisha nini vijana??
Nyie ni CCM B? Kwasababu CCM walitukana na nyie mtukane? Kuna haja gani ya wananchi kuchagua CCM B wakati original ipo?
 
Chadema imeparanganyika,mnyika anataka kumuoa Lady jaydee,wengine wanatukanana mtandaoni,Lema anamuunga mkono makonda,lissu kaungana rasmi na zitto ametangaza leo kupitia clouds yaani wehu tu ndio wapo chadema
Huenda Mimi ndio sielewi maana ya kuparaganyika.
 
Bwana mdogo,maana yake ni kila mtu kuwa na yake na kusahau malengo ya taasisi,au huko chadema ndio utaratibu wenu?isije kuwa mi nimeizoea mipango ilonyooka ya ccm na kuifananisha na ya masela wa chadema.
 
Nyie ni CCM B? Kwasababu CCM walitukana na nyie mtukane? Kuna haja gani ya wananchi kuchagua CCM B wakati original ipo?
Kwani wananchi ndio wanachagua viongozi Hadi useme wananchi.
 
Back
Top Bottom