Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

Kwahiyo CHADEMA mnapigania tupate demokrasia ya matusi?
Matusi kwenye mitandao ya kijamii ni jambo la kawaida, huenda ww ni mzee hivyo umeingia huku kwa bahati mbaya. Ni sawa na uende stand ukute matusi, useme watu wamepigania stand ijengwe Ili watu watukane.
 
Hapa tunaongelea matusi baina ya viongozi wa chama kikuu cha upinzani. Mpuuzi kama wewe Tindo huna madhara kwa chama hata ukitukana siku nzima.
 
Saiv ni mwaka wa4 ACT ikiwa km chama kikuu cha upinzani sa sjui unataka kiwe chama kikuu mara ngap
 
Hapa tunaongelea matusi baina ya viongozi wa chama kikuu cha upinzani. Mpuuzi kama wewe Tindo huna madhara kwa chama hata ukitukana siku nzima.
Hiyo ndio inatakiwa sio mambo ya ndio mzee.
 
Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni jambo la kushtusha sana.

Lema alijitokeza kutaka kuwatuliza vijana wa CHADEMA waliokuwa wakitukanana ila akaambulia kudharaulika kama ambavyo inavyosomeka kwenye screenshot. Kama mwenyekiti chama wa kanda anaweza kudharaulika kiasi hiki vipi mwenyekiti wa wilaya au mkoa? Hakika CHADEMA bado hakijajipanga kabisa kushika dola. Nadhani tuwape ACT ili wachukue nafasi ya chama kikuu cha upinzani.
View attachment 2961791
Kama ilivyo aibu kwa serikali ya CCM pale RC anasema kuna mawaziri wa mama wanamtukana mama. Ni aibu kwa serikali kabisa
 
Sasa huo ndio kuonyesha chama kiko hai. Kwani maneno aliyosema Ndugai yangeleta madhara gani,kama yangepingwa kwa hoja zilizoshiba na akabakia kuwa spika? Huko Marekani wanaomkosoa Biden au Trump unafikiri wote ni wapinzani!! Ni uhuru wa mawazo na ndicho kitu muhimu sana kwenye nchi yoyote.
Bado unaweza kumtetea Ntobi?
 
Back
Top Bottom