Matusi kwenye mitandao ya kijamii ni jambo la kawaida, huenda ww ni mzee hivyo umeingia huku kwa bahati mbaya. Ni sawa na uende stand ukute matusi, useme watu wamepigania stand ijengwe Ili watu watukane.Kwahiyo CHADEMA mnapigania tupate demokrasia ya matusi?
Hapa tunaongelea matusi baina ya viongozi wa chama kikuu cha upinzani. Mpuuzi kama wewe Tindo huna madhara kwa chama hata ukitukana siku nzima.Matusi kwenye mitandao ya kijamii ni jambo la kawaida, huenda ww ni mzee hivyo umeingia huku kwa bahati mbaya. Ni sawa na uende stand ukute matusi, useme watu wamepigania stand ijengwe Ili watu watukane.
ACT ni chama kikuu cha upinzani kwa vigezo gani?Saiv ni mwaka wa4 ACT ikiwa km chama kikuu cha upinzani sa sjui unataka kiwe chama kikuu mara ngap
Hiyo ndio inatakiwa sio mambo ya ndio mzee.Hapa tunaongelea matusi baina ya viongozi wa chama kikuu cha upinzani. Mpuuzi kama wewe Tindo huna madhara kwa chama hata ukitukana siku nzima.
Mbona huwakemei hao viongozi wako kutukanana?Vipi wakituma watu kwa siri watukane ?
Basi msilalamike watanzania wakiwanyima kura chama cha matusi.Hiyo ndio inatakiwa sio mambo ya ndio mzee.
Binti mguno wako umenisisimua mnoMmmmm.
Wewe binti mara zote huwa nakuambia siasa hauiweziBasi msilalamike watanzania wakiwanyima kura chama cha matusi.
Kura gani, zile za vyombo vya Dola ama?Basi msilalamike watanzania wakiwanyima kura chama cha matusi.
Kama ilivyo aibu kwa serikali ya CCM pale RC anasema kuna mawaziri wa mama wanamtukana mama. Ni aibu kwa serikali kabisaHakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni jambo la kushtusha sana.
Lema alijitokeza kutaka kuwatuliza vijana wa CHADEMA waliokuwa wakitukanana ila akaambulia kudharaulika kama ambavyo inavyosomeka kwenye screenshot. Kama mwenyekiti chama wa kanda anaweza kudharaulika kiasi hiki vipi mwenyekiti wa wilaya au mkoa? Hakika CHADEMA bado hakijajipanga kabisa kushika dola. Nadhani tuwape ACT ili wachukue nafasi ya chama kikuu cha upinzani.
View attachment 2961791
Bado unaweza kumtetea Ntobi?Sasa huo ndio kuonyesha chama kiko hai. Kwani maneno aliyosema Ndugai yangeleta madhara gani,kama yangepingwa kwa hoja zilizoshiba na akabakia kuwa spika? Huko Marekani wanaomkosoa Biden au Trump unafikiri wote ni wapinzani!! Ni uhuru wa mawazo na ndicho kitu muhimu sana kwenye nchi yoyote.
Wataikumbuka hii commentBwashee acha kujaribu kututoa kwenye reli, hapa tunajadili suala la maadili kwenye chama. Unapaswa kukemea viongozi wakubwa wa chama chako kutukanana hadharani, tena mitandaoni.