UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

... misaada ya kibinadamu inamlenga mhusika moja kwa moja; sio ile inayoingizwa "fuko kuu" halafu inaenda kununua wasaliti au kuibia kura.
Hiyo ni akili ndogo, BTW upinzani wote ni wasaliti, hasa CHADEMA. Wanangalia matumbo yao
 
Hii ya lini kwani? Si mlisema mabeberu wamekataa kutoa msaada kwa ajili ya Lisu kushindwa uchaguzi?
"Kuna mambo yanatia abu sana.Hii ni nchi ambayo inajisifu ni matajiri sana na wananunua madege kila kukicha ,mara uchui wa kati sijui nini mnashindwa kujenga vyoo
Meko Mwizi na Tapeli sana ndiyo maana anajificha kwenye mambo ya uzalendo wakati hana uchungu na hii nchi huyu MHUTU" _ Kigogo
 
Wamarekani watusaidie kupaka rangi jengo la Ufipa!
 
Tupo bussy na mindege.

Tano tena
 
Msaliti LISU amesalitiwa mwenyewe na Mabeberu.
Kinachouma na kukera hapa ...ni jinsi Kamanda Lisu anavyopuuzwa....! Kwa taflani ile aliyoiwasha ilitakiwa Marekani na Wale EU wafunge kabisa balozi zao na kusepa ili mzee Magu ajione kasuswa sasa kinyume wanaendelea kusaidia..! Basi aombe wasaidie hata kuboresha vile vibanda k'ndoni ufipa...!!!
 
Hebu tulia kwanza, naona una mihemko sana.
 
Hiyo ni akili ndogo, BTW upinzani wote ni wasaliti, hasa CHADEMA. Wanangalia matumbo yao
... akili ndogo ni walioshindwa kujenga matundu ya vyoo ndani ya miaka 59 ya uhuru hadi wasaidiwe na mabeberu huku wakitembelea VX-R V8!
 
Sasa bado vyoo vilivyomo katika shule na hosteli za ghorofa! Katika karne hii tunashindwa kuhudumia vyoo vyenye kutumia maji na tumerudi kwenye kutumia "matundu" kujisaidia. Itafika mahali tutaanza kutenga mapori ya kujisaidia. Bila aibu, dunia ya leo, kiongozi kweli anazungumzia upungufu wa MATUNDU ya vyoo!

Amandla...
 
Ukitaka kujua akili ya masikini hapo mtaani kwenu, jaribu tu kununua nyama za kutosha kisha mpe mmojawapo akawagawie wenzake. Vipaumbele vya CCM ni vya kimasikini sana.
 
Mzungu ametambua mahitaji ya vyoo kwa watoto wetu, Wazungu wabarikiwe.
 
Kuna thread unasoma unaona kabisa mtu hajacum ana miaka mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…