UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

Hivi karibuni @USAIDTanzania imejenga vyoo na sehemu za kunawia mikono katika shule 25 katika mikoa ya Morogoro na Iringa vitakavyohudumia zaidi ya wanafunzi 14,000. https://t.co/VX0p4UySKD

How it started

20201222_211911.jpg

vs. How it's going

20201222_211914.jpg
 
SITAKI KUAMINI KAMA PAMOJA NA KUWA NA UCHUMI WA KATI BADO KUNA SHULE ZINA VYOO VYA AINA HIYO
 
Nani kawachelewesheni? Kawachelewesheni wapi? Kwanini mlimruhusu awacheleweshe?
Watu kama wewe msiopenda wala kutaka kuamini kuwa Tanzania mpya hiyo, na kwamba tungepaswa kuwa nchi hisani kwa mataifa mengine mengi tu, siku nyingi tu. Sisi tunavuta kuja kwenye miundombinu, huduma za elimu, afya na maji lakini wao wanavutia kwenda kwa maandamano, uhasama na uhalifu, ghasia, uzushi na kupinga kila kitu.
 
Jibu maswali hayo
 
Hii ya lini kwani? Si mlisema mabeberu wamekataa kutoa msaada kwa ajili ya Lisu kushindwa uchaguzi?
Mkuu, hayo yalikuwa maneno ya kujifariji baada ya kugalagazwa kwenye uchaguzi, kwa wakaona watoke na singo ya aina fulani ili kuficha aibu.
Jamaa wenyewe hao wa magharibi wameshamwona lissu ni boya tu hana lolote la maana kwa wameamua kumpotezea
 
Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo...
Mkuu Eythrocyte nakupongeza kwa kuanza kubadilika na kuachana na ile milengo ya upingaji wa kila kitu, angalau sasa umeanza kuweka post zinazoonyesha kuwa unajihusisha na mahitaji halisi wa jamii. Hongera mkuu.

Tuko pamoja 🤛👍🏾✌🏿🤝
 
Hii ya leo , misaada ya kibinadamu itaendelea tu
Wacha kueneza majungu, hayo ni matusi tu kwa Watanzania. wametuibia vya kutosha wakirudisha kile waichoiba hata asilimia 10 tu wangeona aibu kutangaza kwamba wamejenga vyoo.

USA pamoja na utajiri walionao wameshindwa kuwapa makazi bora raia halali wa USA wenye asili ya Afrika kwa sababu ya ubaguzi. Waafrika kwa maelfu wanaishi katika hali dhoofu ya maisha kule marekani wewe leo ndio unaona ati wana huruma. Wacha majungu!
 
Back
Top Bottom