Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kumbe shida yako ni mapambio? Pole sana tu. Watu kama nyie ndio mlitungiwaga Methali: Bahati ya mwenzio usithubutu kujilalia mlango wazi. Mbona Mr Mzungu wenu mlianza kumkweza sana tu hata kabla hayafanya lolote la maana? Umejisahaulisha haraka kiasi hichi zile slogan zenu za "NI YEYE"!?? Na hapo ndiyo kwanza alikuwa angali akisaka tonge chamani!Na nyie mtumie akili badala ya kuimba mapambio ya kumsifu Jiwe usiku na mchana!!