Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku ndani ndani nimeona sehemu mwana CCM kawekwa kati anadaiwa nauli za majobless walizopoteza kufuata kituo Cha usaili KM 250+. Sema kumeanza kuchangamkapia niwa kumbushe tu tunaenda kwenye uchaguzi ndugu waalimu chagueni tena CCM haya mambo hayatabadilika kamwe kwa hizi ajira
Average ndio n 50%, ila kaa ukijua kuwa nafasi moja inagombewa na watu watatu kwahy pamoja na kuweka marks iwe 50% Ila pia itategemea ni nafasi ngapi zipo kulingana na ratio ya 1/3 ili kuweza kupata watakaoendelea na usaili.Usawa wake unaupataje? Mimi nataka 50% waliyoiweka wenyewe waifuate. Inakuwaje wanakengeuka??
Nimekuuliza Kulikuwa na ulazima Gani wa kuweka 50%? Si ingebaki siri Yao tu. Pia database maana ake niniAverage ndio n 50%, ila kaa ukijua kuwa nafasi moja inagombewa na watu watatu kwahy pamoja na kuweka marks iwe 50% Ila pia itategemea ni nafasi ngapi zipo kulingana na ratio ya 1/3 ili kuweza kupata watakaoendelea na usaili.
Kwahy hapo hujaonewa, usaili umeenda kwa haki.
Mzee wangu kwa hio umepiga 78% umechoma nauli lodge chakula halafu umeambua patupu hapo hamna hamna kwa wale wazee wa kubet wanakwambia umechana mkeka, noma sana kwa sasa hivi ajira za Utumishi zimekua za kubet nimeaminiHamna mkuu wanaboa Sana hawa utumishi. Imagine mtu katoka kilometer 250 kufuata interview kapata 78 anakatwa. Kwanini wameainisha kwenye Sheria zao kuwa 50% ndiyo kiwango Cha chini??
Si wangesema tu watakavojisikia(watakavoshauriana na mme/mke) wake
Yaani wanakera Sana.Mzee wangu kwa hio umepiga 78% umechoma nauli lodge chakula halafu umeambua patupu hapo hamna hamna kwa wale wazee wa kubet wanakwambia umechana mkeka, noma sana kwa sasa hivi ajira za Utumishi zimekua za kubet nimeamini
Umeelewa nilichokiandika hapo?Nimekuuliza Kulikuwa na ulazima Gani wa kuweka 50%? Si ingebaki siri Yao tu. Pia database maana ake nini
Wewe unaona ni haki kufanyiwa hivyo? Ilitakiwa 50% ifuatwe afu watakaobaki wapelekwe kanzidata. Sasa umepata 90+ afu hujaenda oral huoni kama ilitakiwa ibaki siri Yao tu kuhusu pass mark?Kuwa mpole mwl... Tumefanfanya Paper ya Clearing and Forwarding. Watu tumepata 90 na tukaachwa. Inaumiza lakin hakuna Namna
Mtoa mada hawezi kukuelewa ila ndo mambo yalivyo hvy na hana budi kuyaelewa hata asipotaka kuelewa.Unaelewa nini juu ya usahili wa mchujo??
Utumishi wako wazi kuwa lengo sio kumpata mshindi lengo ni kupunguza idadi ya watu
Walimu someni utumishi hawacheki na yeyote mimi nililiwa kichwa na 70 yangu
Usije ukajiua tuu mkuu, ila kaa ukielewa kuwa utumishi wapo sahihi.Wewe unaona ni haki kufanyiwa hivyo? Ilitakiwa 50% ifuatwe afu watakaobaki wapelekwe kanzidata. Sasa umepata 90+ afu hujaenda oral huoni kama ilitakiwa ibaki siri Yao tu kuhusu pass mark?
Mimi nililiwa kichwa usahili wa afya nikaja na nyuzi za kutia huruma humu ndani badae nikaeleweshwa nikawaelewa utumishiMtoa mada hawezi kukuelewa ila ndo mambo yalivyo hvy na hana budi kuyaelewa hata asipotaka kuelewa.
Swali lako sijaliona mkuu. Halafu maswali yalikuwa yamekosea( hayaeleweki) nani mwenye kosa msahiliwa akifail?Mimi nililiwa kichwa usahili wa afya nikaja na nyuzi za kutia huruma humu ndani badae nikaeleweshwa nikawaelewa utumishi
Sasa hivi napambana na kuhakikisha najiaandaa vema kwa kila interview na namshukuru Mungu kuna interview moja tulikuwa watu mia tatu na kitu nikafanikiwa kupita oral
Utumishi wako fair ukikosa acha kulaumu laumu tafakari wapi ulikosea ujipange upya mimi niliwatukana sana utumishi ila ni ugeni wa jiji.
Mchakato w utumishi upo wazi japo kuna suala nimekuuliza mkuu wangu ikikupendeza naomba nikucheki dm
Mtoa mada akishafanya usaili kadhaa kutoka utumishi na kuwaelewa bc atakuja kufuta huu uzi wake, mm pia nilikuwa siwaelewi ila baada ya muda nikawaelewa.Mimi nililiwa kichwa usahili wa afya nikaja na nyuzi za kutia huruma humu ndani badae nikaeleweshwa nikawaelewa utumishi
Sasa hivi napambana na kuhakikisha najiaandaa vema kwa kila interview na namshukuru Mungu kuna interview moja tulikuwa watu mia tatu na kitu nikafanikiwa kupita oral
Utumishi wako fair ukikosa acha kulaumu laumu tafakari wapi ulikosea ujipange upya mimi niliwatukana sana utumishi ila ni ugeni wa jiji.
Mchakato w utumishi upo wazi japo kuna suala nimekuuliza mkuu wangu ikikupendeza naomba nikucheki dm