Utumishi fuateni Sheria

Utumishi fuateni Sheria

Hamna mkuu wanaboa Sana hawa utumishi. Imagine mtu katoka kilometer 250 kufuata interview kapata 78 anakatwa. Kwanini wameainisha kwenye Sheria zao kuwa 50% ndiyo kiwango Cha chini??
Si wangesema tu watakavojisikia(watakavoshauriana na mme/mke) wake
Hapa ndo nimeelewa
 
Mkuu unawatetea Sana CCM. Sijajua ni Kwanini
Onyesha mahali Comment yangu imewataja ccm, nyie ndo kila jambo linalowashinda mnasingizia ccm 😂 kwahy hadi ww kufeli unailalamikia ccm 😂

Mkuu bado hujasema na bado utasema tuu
 
Onyesha mahali Comment yangu imewataja ccm, nyie ndo kila jambo linalowashinda mnasingizia ccm 😂 kwahy hadi ww kufeli unailalamikia ccm 😂

Mkuu bado hujasema na bado utasema tuu
Sijafail mkuu. Labda ningekuwa sijafikia 50% Yao. Tofauti na hapo ni mihemuko Yao tu wanaitumia kukadiria.
 
Hamna mkuu wanaboa Sana hawa utumishi. Imagine mtu katoka kilometer 250 kufuata interview kapata 78 anakatwa. Kwanini wameainisha kwenye Sheria zao kuwa 50% ndiyo kiwango Cha chini??
Si wangesema tu watakavojisikia(watakavoshauriana na mme/mke) wake
Ungepata 90% ungelalamika hv?
 
Jamaa kapata 51% wamemla kichwa haamini na hajakubali matokeo

Bado mgeni jijini hapa, hapo bado hujasema jombaaaa

Hio ndo inaitwa karibu mjini
 
Jamaa kapata 51% wamemla kichwa haamini na hajakubali matokeo

Wewe Bado mgeni jijini hapa, hapo bado hujasema jombaaaa

Hio ndo inaitwa karibu jijini

Elewa kuwa 50% ni passmark means ikatokea mfano wote mkapata below 50% it means kazi watatangaza upya, ila haimaanishi ukipata 50% ndo unaendelea oral, ita depend na ufaulu ulivo, unaeza pata 90% na usiitwe interview ikiwa tu waliofaulu juu ya 90 wakiwa ni wengi sana.

Mfano wanataka watu wa oral 300, nyie mliopata above 50% mko 600, it means watachukua watu wao 300 wenye maksi za juu, na ndipo wewe panga limekufyeka namna hii

So mzee rudi kapambane sana ufaulu maksi za kueleweka uache kulia hapa
 
Jamaa kapata 51% wamemla kichwa haamini na hajakubali matokeo

Bado mgeni jijini hapa, hapo bado hujasema jombaaaa

Hio ndo inaitwa karibu mjini
Mbaya zaidi n alikuwa mmoja kati ya wale waliokuwa wanapinga usaili 😂 alidhani utumishi wanatania 😂
 
Back
Top Bottom