Utumishi wana mfumo mbovu wa ajira, mfumo unakataa wenye vigezo

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
180
Reaction score
204
Habari.

Mimi nimemaliza diploma ya records, najaribu kuomba kazi ya records iliyotangazwa kupitia utumishi, naamwiwa "check your academic qualification".

Sasa mimi nina diploma hiyo ya records na nyie mmesema mnahitaji mwenye diploma ya records, inakuaje mfumo unikatae? na ili niweze kufanikiwa natakiwa nifanyeje? kama kuna namba ya simu naombeni jamani niwatafute.
 
Ingia kwenye home page ya account yako chini kabisa utaona namba zao za huduma kwa wateja....
 
Kuna kitu hakipo sawa ndio maana inakukatalia ndg,yaan taarifa zako hazijakamilika babu
 

Wapigie wanapokea na watakusaidia mkuu
 
Mkuu njoo pm nitakusaidia!! Kuna sehemu unakosea!! Wala sio mfumo Ni wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…