GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Habari.
Mimi nimemaliza diploma ya records, najaribu kuomba kazi ya records iliyotangazwa kupitia utumishi, naamwiwa "check your academic qualification".
Sasa mimi nina diploma hiyo ya records na nyie mmesema mnahitaji mwenye diploma ya records, inakuaje mfumo unikatae? na ili niweze kufanikiwa natakiwa nifanyeje? kama kuna namba ya simu naombeni jamani niwatafute.