Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Labda tuombe mwalimu wa MMEM, kama wapo hapa wakufundishe.

Labda unapotafuta mwalimu wa MMEM, unaweza kujiburudisha hapa.

Ikiwa una ushahidi wa kutosha kuhusu Waarabu na biashara ya utumwa tupia picha humu.
 
Waafrica lazima muwe watumwa! sijakosea ni lazima mtumikishwe tena mnoooooo! kosa kubwa la sisi kuwa hivi ni babu zetu walikataa kumuabudu Mungu! akawaambia mtarudishwa Misri kwa majahazi! mtajiuza kwa mabwana zenu hamta nunuliwa!

Hii adhabu mnastahili acha iwatafune km haitoshi Mungu alisema na huko mtaabudu msicho kijua!..na kweli ..ndo km huyu yesu mzungu. soma kumbukumbu la torati
 
Kama walipenda wenyewe kuwa watumwa tusiwalamu
 
Wachina waliwahi kuwa watumwa wa Japan
Hizo ni propaganda za kimagaharibi! kupotezea uhalali wa utumwa wa Mwafrica!! sababu unahusishwa na Unabii wa Biblia! hata wayahudi wa leo, (wazungu), wanasema waliuawa kinyama Ujermani, si kweli,

Matajiri hawa, sema mwenyewe nani atamuua tajiri aliye kamata uchumi wa Dunia? Rangi pekee iliyouzwa, ikapandishwa kwenye majahazi, km ilivo tabiriwa kwa kuvumilia shida za utumwa ni mtu mweusi tu!

wazungu mpaka leo wanatamani ile hali ya kuwa watumwa lkn hawawezi! wakipangwa kwenye mazingira machafu tu wanakufa faster! jua la saa sita mpaka kumi mzungu anakuwa dehydrated mpaka kifo, msipomtundikia maji haraka! sasa angalia machinga wanakula mwendo mpaka kibaha! jua joto vyote vyao!

Akilazwa Temeke Hosipital pale ward ya wanaume! lazima afe faster! akiwekwa sero za msimabazi atakufa kwa upele tu!! unaona mafua tu, yanavyo wamaliza km kuku!
 
Wote wote wabaya tu, sio mwarabu wala mzungu! kwani wazungu walipochukua watumwa walikuwa bado hawajawa Wakristo au?
Ukristo na uislamu ndio janga kuu kabisa yaliyowahi kuwafanya Waafrica watumwa
 
Minyororo imefungwa kwenye Ubongo,,Wazungu na waarabu na wengine wote nje ya watu weusi,,wanatubrainwash,, kwasababu wanatuogopa,wanajua ukuu wetu utukufu wetu,,ndio maana wanajitahidi kututoa kwenye mstari,,,ila ipo siku tutajitambua,,tumeanzisha kila wanachotumia wanachotengeza na wanavyoviona( , Black power)
 
Dini ni mipango ya watu weupe,, John howkins alikuwa mzungu wa kwnza kubeba Waafrica na kuwapeleka marekani,mwarabu dalali mnunuzi mzungu,,dini zimeimalisha utumwa
 
Mimi nilishaachaga utumwa huo kitambo tu uislamu na ukristo ,,dini ni vitisho ,, Mungu mkatili anawapendelea akina fulani eti ndio chaguo lake sisi weusi tumelaaniwa eti mzee wetu hamu alimchungulia baba yake mlevi baba akatoa laana kwa hamu,na uzao wake tuwe watumwa wa japhet na Shem milele dini ni mipango ya wanadamu,,sisi watu weusi ndio baba mama wa hao wajiitaa superior race,, wakati wao ndio dhaifu masikini wezi wauaji wanachoyo,, Asante
 
Kwanza hakuna kitu mashariki ya kati,,eneo lote la Arabia ni Africa kaskazini,, Tunisia Libya moroco Algeria,, Palestine na Israel ni ardhi ya watu weusi,,ila misri ni watu weusi saud Arabia ni watu weusi,,mzungu na mwarabu mweupe wote ni wanyang'anyi ,,,,jitahidini kusoma,,msing'ang'anie biblia na Quran,,sisi tulikuwa na Mungu kabla ya wao kupata akili,,pumbuvu zao,,
 
Kweli kabisa, hata Israel ambalo ni taifa teule la Mungu lilifanywa watumwa na waMisri jamii za kiafrika zilipigana zenyewe kwa wenyewe na walioshindwa walifanywa watumwa.
Mungu hajawahi kusema Israel ni taifa teule ,, hayo ni matango ya Wazungu na waarabu,,wote sisi wateule kwa Mungu wa kweli sio wa kanisani wala msikitini,,mzungu na mwarabu mweupe wote ni wapinga Mungu,,
 
Shule jaman turudi hata darasa la tano tujue historia ya utumwa ndo tutajua walipopelekwa watumwa
Historia hiyo ya darasa la tano ilitungwa kwa matakwa ya hao weupe mzungu na mwarabu mweupe,,adui yako akuandie historia yako,,wehu mtupu
 
Kwani hakuna inchi ulaya walikuwapo watumwa lakini wakapotea baada ya utumwa?zipo inchi nyingi tu...wazungu waliwahasi pia...BABU ZETU...
Mfano Argentina hakuna weusi,,nao vp wanafanana matendo yao na waarabu weupe,,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…