Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

Nimesoma paragraph moja nikaona mnanichanganya
Mambo mengi....
Nitarudi
 
I'm afraid, the lime left is too little too late.
Kuhamasisha kususia uchaguzi ni kumsusia ngedere shamba la mahindi, utayavuna mabua!.
Akijitokeza mpiga kura mmoja tuu, akapiga kura ya ndio, mgombea huyo atakuwa ameshinda kwa asilimia 100%.
P.
pascal i tend to see things from a very diffrent perspective sir, i think if we wont have a commision that will guarantee a free and fair election, dont be suprised a civil war emerging in this coutry, as a person who talks and is in the deep know of how people are suffering coz of this current regime, it will came a time people will say enough is enough, and when that time arrives and it surely will, there will be no turning back, pascal do you remeber what ignated the arab spring??????
 
Sasa tunaotaka kuongezeka kwa uhuru wa Tume kwa kujinasua na utumwa tuna nafasi gani wakati Rais wa Tume ndiye mwenye madaraka na mamlaka juu ya uhuru na utumwa wa Tume?

Of course ni vema ushirikishwi wa mustakabali wote wa mchakato wa uchaguzi ukazingatia na kuheshimu hatima ya wananchi wote
 
Iwapo haitapatikana tume huru ya uchaguzi, tutatumia ushawishi wetu humu jukwaani na huko mitaani kuhakikisha wananchi wengi kadiri iwezekanavyo kutokushiriki upigaji kura.

Hatuko tayari kupelekwa kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kubariki uchaguzi wa kihuni. Tutatafuta njia mbadala ya kupata viongozi, lakini hiyo njia ya kura ambayo inaonekana wazi rais aliyepo madarakani na chama chake hawaiheshimu hatuko tayari kuendelea kuitumia.
Kura zetu haziheshimiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla,

Mheshimiwa naamini uwa una tafakuri nzuri, samahani nahisi mawazo yako umeyatoa pengine kwa hisia tu bila kuwepo connection kati ya kuandika na kufikiri maudhui ya unachokiandika ambacho hitimisho lake ni sentensi fupi sana tu 'Tume sio Huru'.

Sio huru kuamua na kutekeleza ushirikishi (inclusiveness) huo, sio huru kuwa na mamlaka ya kuweka uwanja ulio sawa, sio huru kimamlaka kuyazuia hayo yote ambayo wewe mwenyewe unayaona.

Ili hayo unayoyasema yaweze kuthibitiwa lazima namna ya upatikanaji (uteuzi) wa tume, uondolewaji (utenguaji) wa tume au wajumbe wa tume, muundo wa kiutendaji na uwajibikaji n.k. vikarabatiwe. Hilo ni kuanzia kwenye katiba hadi Sheria husika ili kuunda chombo 'huru' chenye mamlaka ya kuratibu shughuli zote za kisiasa kwa pande zote shindani kwa uhuru halisi.
 
Karibu Paschal.
Hoja hiyo Baba.
Wafahamishe wapenda hoja
Hongera kwa uchambuzi.. Naomba kujua machache, mosi, hivi kweli KANU iliondolewa madarakani kwa waraka? Pili, naomba kujua kimantiki sababu zilizopelekea Uhuru Kenyatta akiwa KANU aonekane hafai ila akaonekana anafaa akiwa Jubilee! Tatu, je kubadilisha jina la chama kuna manufaa hata kama watu watabaki wale wale?
 
pascal i tend to see things from a very diffrent perspective sir, i think if we wont have a commision that will guarantee a free and fair election, dont be suprised a civil war emerging in this coutry, as a person who talks and is in the deep know of how people are suffering coz of this current regime, it will came a time people will say enough is enough, and when that time arrives and it surely will, there will be no turning back, pascal do you remeber what ignated the arab spring??????
Arabs are Arabs and Tanzanians are Tanzanians, we are two different people!. Hakuna civil war yoyote inaweza kutokea kwa watu waoga kama kunguru!. Watanzania ni poa sana wenye uvumilivu, ustahimilivu na utii na unyenyekevu wa hali ya juu wa level ya ukondoo!.

Ila miongoni mwetu kuna few individuals who can do that, to ignite them, hivyo kuna wenzetu hili wameishalijua, kuwa CCM itatawala milele na kwa njia za kawaida kwa Tanzania, regime change kamwe haiwezi kutokea kupitia ballot box, hivyo wameanza harakati za kichini chini kutengeneza Tanzania spring kama walivyo tengeneza Arab spring.

Mimi kama Mzalendo muona mbali, hili nimeliona na kama mwandishi wa habari Mzalendo kazi yangu ni kuelimisha tuu jamii kwa mtindo wa maswali.

US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na Marekani: Kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga Kutu-Libya?

P
 
Niliposoma na nikakuta limetumika neno maaskofu walidai badala ya maaaskofu wamesema/ walisema nikajikuta napoteza interest ya kuendelea kusoma

Pole sana....

Umepoteza fursa adhimu sana kujifunza kitu kama ungesoma tu mpaka mwisho...

Hata hivyo, bado unayo fursa. Rudi tena, isome article ujifunze...
 
Pascal Mayalla,
Mr Paschal this is just a piece of advise to you, that, you are crossing the boundaries. Why don't you just speak things that are within your limit?

Do you know that you are trying to lift your seat higher up to reach that of your God - the creator of the universe?

In my opinion, I think you are making a grave mistake using the word "milele (everlasting)" as connected to CCM administration....

You seem to lack knowledge and understanding of the concept of "u-milele".....

There's no creature on earth that is going to live everlasting life. The earth itself in which we are living in, is slowly diminishing. Where will it be the house to contain CCM administration if the earth has already gone..??

He who entitled to "no end life" is only The Almighty God himself...

To prove you wrong that there's no "u-milele" in all man-made cosmetics as everything comes to pass, in blink of your eyes, you will soon justify the shameful ending of this administration regime under CCM....!!!

Paschal, never joke with Creator..... The Almighty powerful God
 
Pole sana....

Umepoteza fursa adhimu sana kujifunza kitu kama ungesoma tu mpaka mwisho...

Hata hivyo, bado unayo fursa. Rudi tena, isome article ujifunze...

Ndo athari za kujiwekea misingi ya maisha yenye misimamo mikali, unakosa kujua mawazo tofauti na yako. Hii isipopona kwa kuamua kubadilika inaweza kukudumaza sana.
 
Serikali za mitaa CCM imepata ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%, kumetokea hatari gani?.
Uchanguzi Mkuu ujao, wembe ule ule uliotumika kunyolea serikali za mitaa, utatumika uchaguzi Mkuu but this time victory margin will be a bit low due to Zanzibar factor. Kutatokea hatari gani wakati dola ipo?.
P
unafikiri huko Libya , Iraq, Syria, yemen kulikuwa hakuna dola?
 
Iwapo haitapatikana tume huru ya uchaguzi, tutatumia ushawishi wetu humu jukwaani na huko mitaani kuhakikisha wananchi wengi kadiri iwezekanavyo kutokushiriki upigaji kura.

Hatuko tayari kupelekwa kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kubariki uchaguzi wa kihuni. Tutatafuta njia mbadala ya kupata viongozi, lakini hiyo njia ya kura ambayo inaonekana wazi rais aliyepo madarakani na chama chake hawaiheshimu hatuko tayari kuendelea kuitumia.
Nami pia nashauri msusie uchaguzi. Ila ujiulize, mliposusia ule wa Serikali za Mitaa mlipata impact gani?
 
Makala nzuri ila wavivu wa kusoma hawatajikita kwa kilicho andikwa.Ndio maana sishangai kuona wengi wakimjibu P na kuacha kujadili yaliyomo kwenye makala.
Makala imesomwa vizuri sana na imeeleweka lakini wanafiki watajibiwa pia
 
Pascal Mayalla, Sioni tofauti ya hoja yako na hoja ya mleta mada.Ulichokifanya Ni kukubali hoja yake lakini kwa maneno tofauti tu.

Umesema kuwa tume iko huru lakini hakuna uwanja sawa,zile sababu zinazosababisha uwanja usiwe sawa ndo hizohizo sababu zinaiondolea Tume Uhuru.

Kwa Mfano wa Agent na Principal tu. Inataka Moyo Sana kumtangaza Mpinzani mshindi dhidi ya Rais aliepo madarakani ambae ndio alioiteua tume na kuifadhiri kwa kila kitu.

Mfano ",nimekupa mshahara,ninakupa gari halafu umtangaze mpizani kua kashinda,utanikoma".
Hi kauli time inaondoa Uhuru wa time. Sasa sijui ulikua unataka kutofautiana Nini na mtoa mada.

Ulichokifanya ni wewe kwenda Mwanza kwa ndege halafu ukasema Mwanza Ni karibu, wakati Mimi nikaenda Mwanza kwa Basi halafu nikasema Mwanza Ni mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitaturu,

sijaona wapi PM amekosea kwenye point yake ..kweli watanzania ni waoga kila mtu anakimbiza ubawa wake...na kwa kielelezo hicho CCM inaweza kutawala milele...kumbuka CCM ni taasisi na taasisi huwa hazifi ila wale viongozi hufa ..na hata viongozi wakifa wanachaguliwa wengine..that why today we dont have Mwalimu,kawawa..sokoine..bibi titi..Karume but CCM bado ipo imara na inaendelea kushikilia dola.......

jaribu kufikiria in that perspective you will see his point....
 
tindo, Mkuu Tindo hoja ya Pascal kuwa mda uliobaki Ni mdogo Haina mashiko,hivi kupeleka mbele uchaguzi let say kwa miezi mitatu ili kupata tume mpya na inayokubalika haiwezekani?hivi ikitokea Rais akafa siku tatu kabla ya Uchaguzi Mkuu ambae pia Ni mgombea,mda wa uchaguzi hautasogezwa mbele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom