Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
.......
.......Great ndo kunakucha hivyo
.......Great ndo kunakucha hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am among the intellectuals just let you know! I have been here long enough! I can read and understand what is blue green or red!my dear, this kind of articles are for people with very high intellect, came back again, hope you will understand just a bit if not all
The irony is JPM happens to be a devout Catholic himself. Otherwise, it's a brilliantly written scholarly article.
Duh, Mama Amon Pongezi kwa uchambuzi, Ila mmmmh. Mama Amoni umeiva sana, ni Mama Amoni Kweli?
Niliposoma na nikakuta limetumika neno maaskofu walidai badala ya maaaskofu wamesema/ walisema nikajikuta napoteza interest ya kuendelea kusoma
Makala nzuri ila wavivu wa kusoma hawatajikita kwa kilicho andikwa.Ndio maana sishangai kuona wengi wakimjibu P na kuacha kujadili yaliyomo kwenye makala.
Nimesoma paragraph moja nikaona mnanichanganya
Mambo mengi....
Nitarudi
sijaona wapi PM amekosea kwenye point yake ..kweli watanzania ni waoga kila mtu anakimbiza ubawa wake...na kwa kielelezo hicho CCM inaweza kutawala milele...kumbuka CCM ni taasisi na taasisi huwa hazifi ila wale viongozi hufa ..na hata viongozi wakifa wanachaguliwa wengine..that why today we dont have Mwalimu,kawawa..sokoine..bibi titi..Karume but CCM bado ipo imara na inaendelea kushikilia dola.......
jaribu kufikiria in that perspective you will see his point....
Hongera kwa uchambuzi.. Naomba kujua machache, mosi, hivi kweli KANU iliondolewa madarakani kwa waraka? Pili, naomba kujua kimantiki sababu zilizopelekea Uhuru Kenyatta akiwa KANU aonekane hafai ila akaonekana anafaa akiwa Jubilee! Tatu, je kubadilisha jina la chama kuna manufaa hata kama watu watabaki wale wale?
Asante sana Mama Amon kwa Makala iliyo sheheni maarifa. Ungenukuu tarehe ya waraka ingenoga zaidi.
Devoted to his faith.How do you define a devout Catholic?
Mama Amon bandiko lako limelenga uhuru wa kitaasisi ambao kimsing ni zao la sheria zinazounda taasisi husika. Swali langu ni dogo tu: Je uhuru wa kifikra kwa watendaji wa taasisi husika upo ?
Devoted to his faith.
Mkuu Kitaturu, hili la CCM kutawala milele, sii langu, wala sio mimi nimejiinua na kusema CCM itatawala milele ambayo ni kama kumkufuru Mwenyezi Mungu.
Naomba jipe muda ukanisome hapa uone ni nani aliyeyasema hayo, mimi kosa langu labda liwe ni kuwaripotia tuu humu kuwa CCM itatawala milele.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Huo ni mtazamo mmoja, unaweza kuwa sahihi, lakini haumzuii muumini kuwa Mcha Mungu. Nikirudia ile cliché, hakuna binadamu aliyekamilika.Gutierrez (1988) anasema kuwa "To know God is to do Justice".
(Tazama kitabu chake nimeambatanisha)
Yaani, Kumpenda Mungu ni kutenda haki.
Kama JPM anatenda haki, basi anampenda Mungu.
Na kinyume chake ni kweli.
Je, wewe unafikiri nini?