Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

Nimekuelewa Mkuu, Fanya hivi :

Chukua mkaa twanga vizuri, changanya na majivu ya jiko la mkaa yaliyotokana na Mti wa msesewe uliochomwa,changanya na maziwa ya paka yaliyogandishwa koroga kwa pamoja kisha kunywa na mayai mawili ya bata weusi...yawe kwenye hali ya uvuguvugu

Itasimama juu kama 1 na mpindo utaishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…