Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
 
Fungus pia ni za kuangalia,mara nyingi case kama hizo ni fangasi sugu yaani imekaa muda mrefu bila kutibiwa sasa inajidhihirisha hadharani.
 
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Nimeshaur sana hapa jukwaani jinsi ya kutatua..

Hapa nimelewa ntakushaur kesho inshallah
 
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Hiyo ni pumbu jero mkuu
 
Back
Top Bottom