Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Oga vizuri,vaa boxer kavu mwisho usisahau kupaks mafuta tafuta lotion ya nivea inaitwa nivea deepcondition
 
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Wasikutishe, hii inaitwa pumbu erosion, wengine wanaita pumbu jero. Mara nyingi inawapata watu wakiwa shule, au chuoni kabisa. Waasisi wa hili jina la Pumbu jero naisi ni Pugu boys, maana ilawapiga karibia ya robo tatu ya shule lakini ni zamani sana, ila shule nyingi za boy's uwa wanapata.

Hii ishu mara nyingi inapona yenyewe kwa kufanya usafi wa boksa na kuhakikisha hakuna joto sana kwenye makangari, na usik lala na pensi ili hewa iingie vizur, na ni vizur uoge kabla ujalala kama ukiwa sehemu zenye joto. Ila kuna wahuni ilipona waliporudi nyumban tu, kuna wengine waliacha kuvaa boksa kwa mda, kuna wengine walitumia mpka poda 😂😂😂.

Ila matibabu kabisa tafuta antifungal nzuri, kwasababu hio ni fungus.
 
Yaah, watu wa u Boyzn tunakumbuka hiii..
 
NILIKUWA KTK UTAFITI HAPA KATI NIKAJA GUNDUA
1.KWELI N KAMA UGONJWA
2.NI SPIRITUAL ATTACK

WANAUME WENGI HASA MALAYA WAKIONJA WAKE ZA WATU WALE WANAUME MARA NYINGI WANATUMIA FUNGUS KUWAMALIZA AAMA.KUWATESA WALE WANAOTESA NDOA ZAO

3USAFI

4.URITHI
KUNA WENGINE WANARITHI VIZAZI VYAO M NIMEMALIZA OUGU 1999 NIKATESEKA KIDOGO NA ZILE FUNGUS NKAPONA LAKN WAPO MPAKA LEO WANAUMWA MBAYA....

5
6
7

MTARUDI.KESHOO

SO JITAHIDI UKIJITIBIA KIMWILI PAMBANA PIA NA KIROHO WAKUU
 
Hivi inakuwaje mtu ukatupiwa ugonjwa kishirikina? Kwanza inawezekana kutupiwa ugonjwa au ni maneno tu ya watu?
 
Ipo mkuu 💯

M uncle wangu aliponea kwenye maombii gonjwa la ajabuu sasahivi anatembea na Bible kila sehemu akimshukuru Mungu
Hivi inakuwaje mtu ukatupiwa ugonjwa kishirikina? Kwanza inawezekana kutupiwa ugonjwa au ni maneno tu ya watu?
💯
 
Tafuta miconazole cream kwenye pharmacy, paka kila siku asubuhi na jioni kwenye eneo husika,in 2 weeks utatatua tatizo
 
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Tafuta mafuta ya mnyonyo yakiwa yale meusi yanakuwa bora zaidi, jipake huko penye shida asbh na jioni tatizo bye bye kwa muda mfupi sana
 
Wasikutishe, hii inaitwa pumbu erosion, wengine wanaita pumbu jero. Mara nyingi inawapata watu wakiwa shule, au chuoni kabisa. Waasisi wa hili jina la Pumbu jero naisi ni Pugu boys, maana ilawapiga karibia ya robo tatu ya shule lakini ni zamani sana, ila shule nyingi za boy's uwa wanapata.

Hii ishu mara nyingi inapona yenyewe kwa kufanya usafi wa boksa na kuhakikisha hakuna joto sana kwenye makangari, na usik lala na pensi ili hewa iingie vizur, na ni vizur uoge kabla ujalala kama ukiwa sehemu zenye joto. Ila kuna wahuni ilipona waliporudi nyumban tu, kuna wengine waliacha kuvaa boksa kwa mda, kuna wengine walitumia mpka poda 😂😂😂.

Ila matibabu kabisa tafuta antifungal nzuri, kwasababu hio ni fungus.
Antfungal nzuri ni ipi
 
Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Pole MKUU!!ila kinena kumbe kipo kwa baadhi ya wanaume au???
 
Back
Top Bottom