malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Boxer navaa mara moja tu kwa sikuFua Boxer, zikauke.. oga... kausha kende vzr
UkatoePicha tafadhali
Hospital naonana madaktar anahusika na niniNenda hospital tu mzee
Acha nifanye hivo nifike kituo Cha afyaKwa dalili likely ni fangasi itakuwa vizuri ukifika kituo cha afya,
Tiba yake ni ninFungus pia ni za kuangalia,mara nyingi case kama hizo ni fangasi sugu yaani imekaa muda mrefu bila kutibiwa sasa inajidhihirisha hadharani.
Nimeshaur sana hapa jukwaani jinsi ya kutatua..Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Hiyo ni pumbu jero mkuuMsaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Salamaleko 😁Uki do nje ya ndoa jitahidi u pizza nje