jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,214
Oga vizuri,vaa boxer kavu mwisho usisahau kupaks mafuta tafuta lotion ya nivea inaitwa nivea deepconditionMsaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Mkuu emu nishauri Sasa hivi maana asubuh naamkia safar saa kumi na mbiliNimeshaur sana hapa jukwaani jinsi ya kutatua..
Hapa nimelewa ntakushaur kesho inshallah
Wasikutishe, hii inaitwa pumbu erosion, wengine wanaita pumbu jero. Mara nyingi inawapata watu wakiwa shule, au chuoni kabisa. Waasisi wa hili jina la Pumbu jero naisi ni Pugu boys, maana ilawapiga karibia ya robo tatu ya shule lakini ni zamani sana, ila shule nyingi za boy's uwa wanapata.Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Yaah, watu wa u Boyzn tunakumbuka hiii..Wasikutishe, hii inaitwa pumbu erosion, wengine wanaita pumbu jero. Mara nyingi inawapata watu wakiwa shule, au chuoni kabisa. Waasisi wa hili jina la Pumbu jero naisi ni Pugu boys, maana ilawapiga karibia ya robo tatu ya shule lakini ni zamani sana, ila shule nyingi za boy's uwa wanapata.
Hii ishu mara nyingi inapona yenyewe kwa kufanya usafi wa boksa na kuhakikisha hakuna joto sana kwenye makangari, na usik lala na pensi ili hewa iingie vizur, na ni vizur uoge kabla ujalala kama ukiwa sehemu zenye joto. Ila kuna wahuni ilipona waliporudi nyumban tu, kuna wengine waliacha kuvaa boksa kwa mda, kuna wengine walitumia mpka poda πππ.
Ila matibabu kabisa tafuta antifungal nzuri, kwasababu hio ni fungus.
Hivi inakuwaje mtu ukatupiwa ugonjwa kishirikina? Kwanza inawezekana kutupiwa ugonjwa au ni maneno tu ya watu?NILIKUWA KTK UTAFITI HAPA KATI NIKAJA GUNDUA
1.KWELI N KAMA UGONJWA
2.NI SPIRITUAL ATTACK
WANAUME WENGI HASA MALAYA WAKIONJA WAKE ZA WATU WALE WANAUME MARA NYINGI WANATUMIA FUNGUS KUWAMALIZA AAMA.KUWATESA WALE WANAOTESA NDOA ZAO
3USAFI
4.URITHI
KUNA WENGINE WANARITHI VIZAZI VYAO M NIMEMALIZA OUGU 1999 NIKATESEKA KIDOGO NA ZILE FUNGUS NKAPONA LAKN WAPO MPAKA LEO WANAUMWA MBAYA....
5
6
7
MTARUDI.KESHOO
SO JITAHIDI UKIJITIBIA KIMWILI PAMBANA PIA NA KIROHO WAKUU
Ipo mkuu π―Hivi inakuwaje mtu ukatupiwa ugonjwa kishirikina? Kwanza inawezekana kutupiwa ugonjwa au ni maneno tu ya watu?
π―Hivi inakuwaje mtu ukatupiwa ugonjwa kishirikina? Kwanza inawezekana kutupiwa ugonjwa au ni maneno tu ya watu?
Duuuh aisee ni noma sanaa. Khaaa.Ipo mkuu π―
M uncle wangu aliponea kwenye maombii gonjwa la ajabuu sasahivi anatembea na Bible kila sehemu akimshukuru Mungu
π―
Tafuta mafuta ya mnyonyo yakiwa yale meusi yanakuwa bora zaidi, jipake huko penye shida asbh na jioni tatizo bye bye kwa muda mfupi sanaMsaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani
Antfungal nzuri ni ipiWasikutishe, hii inaitwa pumbu erosion, wengine wanaita pumbu jero. Mara nyingi inawapata watu wakiwa shule, au chuoni kabisa. Waasisi wa hili jina la Pumbu jero naisi ni Pugu boys, maana ilawapiga karibia ya robo tatu ya shule lakini ni zamani sana, ila shule nyingi za boy's uwa wanapata.
Hii ishu mara nyingi inapona yenyewe kwa kufanya usafi wa boksa na kuhakikisha hakuna joto sana kwenye makangari, na usik lala na pensi ili hewa iingie vizur, na ni vizur uoge kabla ujalala kama ukiwa sehemu zenye joto. Ila kuna wahuni ilipona waliporudi nyumban tu, kuna wengine waliacha kuvaa boksa kwa mda, kuna wengine walitumia mpka poda πππ.
Ila matibabu kabisa tafuta antifungal nzuri, kwasababu hio ni fungus.
Pole MKUU!!ila kinena kumbe kipo kwa baadhi ya wanaume au???Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua ugonjwa Gani