Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

Tiba yake ni nin
Fungus katikati ya mapaja nadhani siyo kitu kigeni wala cha aibu kwa sisi wanaume nimeipitia hiyo hali japo siyo kwa kiwango chako,nilikuwa na ile ya kutoa unga unga unaotoa harufu mwanzo nikawa natumia limao na ndimu inaisha kwa muda ukipita mwezi inarudi.

Sasa nimejibunia dawa so far inanisaidia muda mrefu sana sijapata ile hali nadhani hata wewe itakusaidia au yeyote mwenye hili tatizo,njia ninazotumia ni
-Usafi wa mwili na nguo za ndani ni marufuku kurudia boxer.

-Nanyoa mavoozi kila baada ya siku kumi hii nimei-set sawa na siku ninazonyoa nywele sehemu nyengine za mwili.

-Chukua mafuta ya nazi yale ya watoto Minara changanya na Grislin ile wanayotumia kinamama kujipaka miguuni ili ilainike jizoeze kuyatumia baada ya kuoga asubuhi na jioni kila siku.

-Kuwa na vitaulo vya kujifuta maji huko chini ukitoka kuoga usitumie zaidi ya siku mbili viwe vimefuliwa,yaani ukitumia leo na kesho kifuliwe.

-Nyembe unazotumia kujinyoa usizirudie mara mbili pia unapooga jisuuze na maji safi hakikisha sabuni yote imeondoka maeneo hayo.

Nilichogundua ku-maintain usafi wa pumbu siyo kazi rahisi unaweza ukafanya yote kwa usahihi ila ukikosea kimoja tu inakuwa kazi bure,hizo dawa za tubes sijui cream sikushauri kutumia nadhani hizo ni kwa ajili ya wanawake labda na wazungu tu tumia njia niliyokupa itakusaidia.
 
Mafuta yenyewe haya hapa.
Minara

Grislin wenyewe wanaitamka hivyo ni hii hapa

Hii combi imenipa matokeo mazuri sana.
 
Picha tafadhali

I want problems always..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu tumia hio dawa inauzwa sh 5000, ndani ya siku Tatu njoo utoe mrejesho.
 

Attachments

  • IMG_20250927_173725.jpg
    251.1 KB · Views: 27
  • IMG_20250927_173725.jpg
    251.1 KB · Views: 21
Paka dawa ya Meno au dawa ya Msuaki inaitwa Colgate kwenye hio area ya ngozi yenye shida utapona ndani ya muda mfupi ila zingatia usafi Buddha unakuaje hivyo mchafu?

Zingatia: Ukipaka inauma km eneo hilo lina shida na inachoma km Iodine/Sprit kwa hio uvumilie maumivu utakayokutana nayo subiri mpaka ikauke sio unasikia maumivu unatoa unaharibu dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…