Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Tayari🤔
 
Siku nyingine ukitaka kupiga kavu kavu hebu nusa hiyo K.
Jinsi ya kuinusa. Jifanye unataka kushuka chumvini wakati anapanua miguu. Ukikuta Ni kale kaharufu kakuvutia ka K Kama kale ka K za mahausgel hapo kula mzigo na unaweza hata kuzama uvinza.
Ukikuta harufu ya samaki aliyechina au Kama panya aliyekufa siku tatu nne, mpe pesa ya usumbufu halafu sepa. Kwa hii kes hata Kama bia na kuku kanunua yeye, usije, narudia usije ukailamba. Gono la kwenye ulimi upende kulisikia kwenye redio tu.
 
kaswende iyo aka gono jamaa tumia kondom acha ngono zembe afu ukapime na ngoma kabosa mana kaswende na VVU ni uji na mgonjwa.
 
Wasiwasi mkubwa sio hizo dalili ulizotajwa ila kuunganishwa kwenye gridi ya taifa.
 
Tembea uone mzee, kuna pisi kali hawana harufu na wana kisonono.
kaswende iyo aka gono jamaa tumia kondom acha ngono zembe afu ukapime na ngoma kabosa mana kaswende na VVU ni uji na mgonjwa.
Kaswende na gonorrhea/kisonono ni magonjwa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…