Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Ukate huo uume.Utashindwa kuingia mbinguni kwa vitu vidogovidogo.
 
Oyaaaa Umeyatimba
Man hiyo gono, nenda hospital kacheki watakupa dawa na ushauri pia
 
Shukran mkuu
 
Aisee pole sana! Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Nimekuhurumia sana.
Pambana na hizo antibiotics pamoja na sindano ila kama utamaliza tena dozi bila mafanikio ama ikajirudia tena kwa muda( huwa inatokea).Nitafute hapa nitakupa njia nyingine superior zaidi.
Jitahidi sana kuvaa kondomu ndugu yangu.Starehe ya sekunde chache inaweza kukupa mateso ya muda mrefu.
 
Kuna vidonge fulani hivi, vina rangi ya pinki na nyeusi, nimesahau jina + maji mengi; tatizo litaisha, ila nenda hospitali au maabara iliyo karibu nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…