Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Pesa ni za wale waliohukumiwa siyo za chama! Pia kuna mabadiliko makubwa sana tangu wahukumiwe, covid-19, Mashinji ni DC na kadhalika!Wafanye wawezavyo waanze ujenzi wa ofisi ya kudumu ya CDM....350mil kiwanja na structure inaanza ....