Uungwana ni vitendo: Je, CHADEMA watarudisha Tsh. 38 milioni zilizotolewa na hayati Magufuli kumtoa Msigwa jela?

Wafanye wawezavyo waanze ujenzi wa ofisi ya kudumu ya CDM....350mil kiwanja na structure inaanza ....
Pesa ni za wale waliohukumiwa siyo za chama! Pia kuna mabadiliko makubwa sana tangu wahukumiwe, covid-19, Mashinji ni DC na kadhalika!
 
Walichangiwa.....tuamue moja iwe mali ya chama watujenge ofisi....
 
Kiungwana Msigwa anatakiwa kurufisha ile pesa. Ni kama umechangiwa hela ya arusi halafu ukahairisha.
Pesa huwa hairudi, na hata zile ndondogo za mayai tulizo changiaga, hazirudi! Wacha viongozi wetu wakajipooze pooze maumivu!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa.

Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani mchungaji Msigwa alibahatika kutoka kwa michango ya wanachama na sisi wadau wa siasa.

Je, CHADEMA watarudisha hizi tsh 38m kwa familia ya mwendazake Magufuli?

Uungwana na Vitendo.

Jumapili njema!
Chadema sie watu wa haki,pesa iliyochangwa na wanachama nashauri iende kwenye account ya chama ile ya mwendazake aliotoa KWA ajili ya mh mchungaji Msigwa,irejeshwe serikalini, maana hakutoa mfukoni mwake, alichota kwenye pesa za walipakodi ,zirejeshwe
 
Acha kuupotosha ukweli hapa! Polepole alivurushwa na kina mdee pale segerea kwani alimfuata Msigwa kwenda mahakamani kumlipia faini! Kamdai Polepole hiyo pesa kwani hakuilipa mahakamani Kama ilivyokusudiwa! Kwa ushahidi zaidi nenda mahakama ya kisutu uiulizie hiyo risiti ya malipo ya Msigwa utapata majibu. Nasisitiza, kamuulize Polepole alikoipeleka hiyo pesa Kama kweli unautaka ukweli!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa.

Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani mchungaji Msigwa alibahatika kutoka kwa michango ya wanachama na sisi wadau wa siasa.

Je, CHADEMA watarudisha hizi tsh 38m kwa familia ya mwendazake Magufuli?

Uungwana na Vitendo.

Jumapili njema!
HIYO MIL38 YA MAGU HAIPO KABISA KTK IDADI YA MIL350 NA WALA MSITUFANYE WAJINGA
 
Magufuli alizitoa hizo pesa kama nani?

Mbona hakutoa pesa za matibabu ya Lissu Nairobi hadi Brussels?

Magufuli zile pesa alizokuwa anagawa mitaani kwenye msafara wake alizitoa wapi ? Zilikaguliwa na CAG? Ni za kutoka fungu/mfuko upi?

Tuanze kwanza kwa kurudisha pesa zetu alizokua anagawa mtaani huku uchumi ukiwa umedorora na yeye akisema anapokea millioni 9 kwa mwezi na hazimtoshi..

Haki ni zaidi ya pesa hata asingetoa hizo pesa bado wapenda mabadiliko na haki tungechanga hadi Msigwa akatoka...mabaya aliyoyafanya jiwe hayawezi kufidiwa na pesa yoyote..

Hujiulizi kwa nini Msigwa aliletewa gari na Jiwe ila hakupanda?
 
Chama ni nini? Ni sare za chama? au katiba ya chama? Je walisukumwa na mambo binafsi au imani ya chama? Kasome kamusi.
CHADEMA haijawahi kupigwa faini/kuhukumiwa tusichanganye mambo.Waliohukumiwa ni Watu individual hivyo na faini ililipwa Kwa jina la mtu aliyehukumiwa.
Hivyo na marejesho yatafanyika Kwa mtu aliyelipa faini na sio Chama.

Sasa hizo za Jiwe atarudishiwa yule aliyelipiwa ie Msigwa
 
Kwani aliombwa atoe?Kiherehere chake tu.Wajenge madarasa watoto wasome.😝😝😝😝😝
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa.

Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani mchungaji Msigwa alibahatika kutoka kwa michango ya wanachama na sisi wadau wa siasa.

Je, CHADEMA watarudisha hizi tsh 38m kwa familia ya mwendazake Magufuli?

Uungwana na Vitendo.

Jumapili njema!

uungwana ungeanzia kwake mwenyewe jpm kwa kurudisha hela za michango ya waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi Kagera
 
Baada ya machungu ya kukosa uteuzi kwenye UDC Jo umerudi na post zako za uchuro dhidi ya CHADEMA!
Hivi hukomi tuu?
Hivi hujifunzi tuu?
Afadhali ungesema uDED

Enzi za Nyerere uDC walipewa madereva wastaafu wa CCM.

Hahahaaaa....... hahahaaaa...... hahahaaaa....... Lijualikali oyeeee!
 
CHADEMA haijawahi kupigwa faini/kuhukumiwa tusichanganye mambo.Waliohukumiwa ni Watu individual hivyo na faini ililipwa Kwa jina la mtu aliyehukumiwa.
Hivyo na marejesho yatafanyika Kwa mtu aliyelipa faini na sio Chama.

Sasa hizo za Jiwe atarudishiwa yule aliyelipiwa ie Msigwa
Kwani Msigwa alilipiwa na Hayati Rais wetu mpendwa?

Amandla...
 
Acha kuupotosha ukweli hapa! Polepole alivurushwa na kina mdee pale segerea kwani alimfuata Msigwa kwenda mahakamani kumlipia faini! Kamdai Polepole hiyo pesa kwani hakuilipa mahakamani Kama ilivyokusudiwa! Kwa ushahidi zaidi nenda mahakama ya kisutu uiulizie hiyo risiti ya malipo ya Msigwa utapata majibu. Nasisitiza, kamuulize Polepole alikoipeleka hiyo pesa Kama kweli unautaka ukweli!
Ilitumika kumtoa jela Mwamba!
 
Magufuli hakutoa hata shilingi kumtoa huyo Msigwa, kama hata kesi yenyewe yeye ndio alikuwa anapanga hukumu iweje, atatoaje 38m kwa watu alioagiza wafungwe ili kuwakomoa?
Hahahaaaa...... Muulize mwenyekiti wako alitokaje pale Segerea.
 
Hizi ni dalili ya stress dume...!!! Haziishi haraka
Hahahaaaa.... hahahaaaa..... !

Ndani ya siku 100 za mama, Tundu Lisu ( siyo Chadema) anakumbushia simu aliyompigia mama kuomba appointment!

Lowassa alianza hivi hivi.........hahahaaaa!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa.

Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani mchungaji Msigwa alibahatika kutoka kwa michango ya wanachama na sisi wadau wa siasa.

Je, CHADEMA watarudisha hizi tsh 38m kwa familia ya mwendazake Magufuli?

Uungwana na Vitendo.

Jumapili njema!
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha offer ya Msigwa kutolewa kwa mchango huo chama na msigwa mwenyewe waliikataa.mwenye kumbukumbu nzuri atuletee kwa rejea.
 
Back
Top Bottom