Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Hii kitu wanaisimamamia kweli au mizunguo tu

"7. Malipo yote yalipwe kupitia mfumo wa TAUSI. Malipo nje ya Mfumo wa TAUSI hayatatambuliwa hivyo kuwa BATILI."
 
Mpaka sasa viwanja vya Mwabepande havijawekwa kwenye Tausi😂 ila tangazo lilisema Leo vitaanza kuuzwa😄😂😂😂
 
Back
Top Bottom