Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Mimi nashindwa kununua kiwanja online kupitia Tausi sioni option ya kupata namba ya malipo pia sioni vipimo vya kiwanja husika. Naomba maelekezo please.
 
Attachments

  • Screenshot_20241214-010956.png
    Screenshot_20241214-010956.png
    371.3 KB · Views: 14
Soma vizuri mkuu.. ni miezi mitatu..
50% ndani ya siku 30
Next 50% ndani ya siku 60
Boss nna hose a sjakosea, ni utapeli. Sio kua ni miez 3 ishu ni control number unayo pewa ni ya mda gani? Kwe ye maelezo kule juu wanasema ni miez 3 wanajua control namba ya siku pungufu kumbuka usipomaliza kulipa ndani ya mda wa control number hela yako. Imeondoka system imakutka
 
Kumbe?
 
Unaona hapo mradi wa shinyanga iselemagazi control number ni ya siku 30, sasa ukifata maneno yao kua ni siku 90 ukaaxha kufata control number unajikuta imekua kwako. Na kuishtaki serikali mpaka ushindwe ni kaz
 
Attachments

  • Screenshot_20241217-001259.png
    Screenshot_20241217-001259.png
    187.1 KB · Views: 11
Una hoja mkuu, lakini ninafikiria inawezekanaje serikali iuze kiwanja chenye mgogoro! Inawezekanaje serikali iuze kiwanja kwenye maeneo hatarishi Kwa mafuriko n.k, najiuliza tu inawezekanaje!! Yani serikali badala ya kuleta usitawi Kwa wananchi wake ilete utapeli! Tutakuwa hatuko salama kabisa ikiwa ni hivo.
sasa ngoja wakushangaze uje kushangaa na roho yako. mweusi alishalaaniwa zamani sana mambo ya ovyoovyo hayaishi. ngoja uuziwe korongo.
 
Hapo unaambiwa unatakiwa kulipa ndani ya siku 90, kisha wa nakupa control number ya siku 14. So ukijichanganya umekwisha, unless ULIPE hela yote ndani ya siku 14.
 
Attachments

  • Screenshot_20241221-001633.png
    Screenshot_20241221-001633.png
    414.6 KB · Views: 14
Back
Top Bottom