Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

Hii kitu wanaisimamamia kweli au mizunguo tu

"7. Malipo yote yalipwe kupitia mfumo wa TAUSI. Malipo nje ya Mfumo wa TAUSI hayatatambuliwa hivyo kuwa BATILI."
 
Mpaka sasa viwanja vya Mwabepande havijawekwa kwenye TausiπŸ˜‚ ila tangazo lilisema Leo vitaanza kuuzwaπŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiwanja kinalipiwa baada ya muda kinarudi kwenye system, labda kinasubiria mpaka nipate kibunda. Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…