Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

Yawezekana hapo ni Njombe.... Au ndani kuna kiyoyozi [emoji1] [emoji1]
 
Kwanini unapaka mafuta yanayo nukia na perfume na wala sio samli kama watu wa kabila fulani hivi
 
Mkuu naamini kwa sababu ya utumwa kuna watu watakutolea povu ila mm nakuunga mkono
hivi mkikaa kimya mnapungukiwa na nini si yeye ameamua mbona mikanzu hiyo watu wanakwepa mwambie mkeo kuhusu ninja nikabu tulia wewe
 
Kituko ni pale unapokubali dini nzima ya kupandikiziwa kutoka utamaduni mwingine, na kukataa mavazi tu.
 
Hii ni Bonge la Biashara. Hao wote unaoona WAMELIPWA hela nzuri tu.

Hata huko North America na Europe ukiongea na nchi kadhaa kama Australia, New Zealand, South Africa etc kipindi hiki Serikali inaingiza KODI kubwa sana kwa makusanyo ya vitu vinavyouzwa kipindi hiki.

Ni kipindi ambacho kinatoa AJIRA kubwa mno. Ni kipindi ambacho hata MATAJIRI Wabahili, fedha zao zinamwagika za kutosha na Masikini nao wanapatia-mo.

Tumeiga mengi mno. Unakuta jitu jeusi tii linaitwa Ian Smith au Abdoul Sadique!!!!
Hili la nguo siyo JIPYA. Tumeshaanza kitambo mbona kuwa Weupe na kuchonga Pua.
 
waafrica kwenye din hatubaguani tunaelekezana tu huyu mwandishi ndio mdini pumbavu zake akikaa kimya atapungukiwa na nini ningempiga dole matakoni choko huyu
 
Utakuwa msabato tu wewe. Nguo avae mwenzako halafu joto lake ulihisi wewe? Iache pilipili iwawashe wanaoila .... Usihangaike nayo!
Wasabato wana nini aisee?
Nifungue macho ndugu nataka kuoa huko
 
Mimi ni balaaa....nimekufukua huko na wewe bila kufikiri ukaja kama tahira vile..


Vipi mada zetu zile za makambi kuhudu xmas utatizishusha lini mkuu....Wajoli tunazisubiria kwa hamu
Waambie basi Mods waachie hizo threads naona wamezishikilia tu. Vipi utaratibu umebadilika siku hizi nisaidie mwenyeji wangu.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Umesemaje..??.....halafu umezuuunguka ila bandiko lako la kishenzi lilikuwa linalenga para hii....Tahira wa miguu saba


Una laana...???
Ukisema nina "laana" au sina "laana" haiwezi kusaidia kuundoa ukweli ulio dhahiri kabisa. Sikukuu ya X-mass ni siku ya kuabudu "mungu wa jua wa kipagani"(Mithras). Siku hii iliingizwa kwenye kanisa la Roma (Roman Catholic Church) na Emperor Constantine ambaye alikuwa ni muumini wa dini ya Mithra. Cha ajabu zaidi Emperor Constantine alijifanya kuwa "askofu" wa Roman Catholic church na hata siku moja hakuwahi "kubatizwa". Mtu huyu alikuwa ni wakala wa ibilisi na mpaka leo dunia nzima inasheherekea sikukuu hii aliyoifanya eti iwe ndiyo siku ya "kuzaliwa" MESSIAH. Hata siku moja BWANA MUNGU hafungamani na "udhalimu".

Mtu huyu huyu Emperor Constantine wa Roma, ndiye aliyebadilisha siku ya kuabudu kutoka JUMAMOSI ambayo ndiyo SABATO ya kweli na kuihamishia siku ya JUMAPILI ambayo ni siku ya kwanza ya Juma (SUN DAY) ili kumtukuzu huyo mungu wake "feki" aliyekuwa akiitwa Mithra. Historia ipo na imeandikwa. Tatizo lako husomi, kazi yako ni kufuata tu mkumbo. Pole sana Otorong'ong'o, nakuombea kwa MUNGU akufungue macho uuone UKWELI.
 
KWAHIO MKUU UNAMAANISHA KWAMBA, WAISLAMU WA DAR, WASIVAE MABAIBUI NA KANZU????!!!!! Kwakua wakivaa watakua malimbukeni na washamba, maana dar kuna joto kali. Kwamujibu wa maelezo yako.
 
Mimi na wewe nani hajui kitu hapo? Labda mimi sijui kitu, lakini kwenye "thread" yangu nimezungumzia "uvaaji wa nguo kwa ajili ya kujikinga na baridi kali, mtu anavaa nguo hizo huku Africa kwenye jua kali ambalo linachoma kama pasi". Mimi sijasema kila kitu walichokianzisha wazungu ni kibaya, soma thread yangu vizuri uelewe. Hakuna mahali nimesema "technology" ni mbaya, wala sijasema madawa ya kutibu watu ni mabaya; nimezungumzia X-mass kuwa ni "sikukuu ya kipagani".

Acha kukurupuka kuandika vitu hovyo hovyo bila kuzingatia mtu anazungumzia nini. Wewe kuikubali Sikukuu hii ya Kipagani au dunia nzima kusheherekea sikukuu hii ya Kipagani hakuihalalishi hata kidogo sikukuu hii ya kishenzi. Ukweli utabaki pale pale. Hii ilikuwa ni siku ya kumtukuza mungu wa kipagani aliyekuwa akiitwa Mithra. Siku hii tarehe 25 December siyo siku aliyozaliwa MESSIAH. Soma maandiko vizuri utajua ni lini MESSIAH alizaliwa. Acha kuiga kila kitu cha kipuuzi unacholetewa. Use your brain to reason things.

Ni kichekesho unamkuta mtu mzima na akili zake amevaa nguo ambazo zinavaliwa Ulaya kwenye baridi kali na barafu, yeye anavaa nguo hizo kwenye jua kali la Dar eti anasheherekea X-mass; huo ni "ulimbukeni wa kiwango cha juu sana". Wewe unafikiri huyo wanayemuita Santa Claus (father X-mass) kwanini alikuwa anavaa mavazi ya aina hiyo?? Unajua sababu ya kuvaa hivyo anavyovaa??
 
KWAHIO MKUU UNAMAANISHA KWAMBA, WAISLAMU WA DAR, WASIVAE MABAIBUI NA KANZU????!!!!! Kwakua wakivaa watakua malimbukeni na washamba, maana dar kuna joto kali. Kwamujibu wa maelezo yako.
Soma post yangu uelewe. Baibui na Kanzu siyo mavazi maalumu ya kujikinga na baridi. Aina ya mavazi ambayo anavaa mtu wanayemuita "father X-mass" ni mavazi maalumu ya kujikinga na baridi kali na barafu ambayo huwa inadondoka huko Ulaya wakati wa Mwezi wa December mpaka Mwezi March. Aina hiyo ya mavazi huwezi kuvaa Dar sababu hapa Dar es Salaam hakuna barafu inayodondoka, wala hakuna baridi kali. Ndiyo maana nikasema ni Ulimbukeni kuvaa nguo kama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…