Nafikiri usiwapangie watu namna ya kutafuta namna ya kusurvive.Siwakawaida wanapokea misada kutoka USA kama wadangaji wa bongo Wana uspecial gani.
Siwatafute pesa zao tujue wao ni watabe.
Israelis own AmericaGo back to school
Uchaguzi umekaribiaMuda utazungumza. So far,wanasiasa wana kasumba ya kupenda kunywa damu za watu.
Kwa sheria za kimataifa haiwezekani hata russia alitamani hata kutumia nyuklia kutandika nchi zote adui zinazomzunguka ambazo ni matawi ya marekani ila dunia itakutenga siyo rahisi kihivyo kama ushabiki wako maandazi unavyofikiria ukishashiba dona lakoNa Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.
jibu lako "bumunda" nenda kamjibu niliye mquote.Kwa sheria za kimataifa haiwezekani hata russia alitamani hata kutumia nyuklia kutandika nchi zote adui zinazomzunguka ambazo ni matawi ya marekani ila dunia itakutenga siyo rahisi kihivyo kama ushabiki wako maandazi unavyofikiria ukishashiba dona lako
Uzuri hao wote ni waarabu kutokea kwa (IBRAHIM) muiraq![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waliwavizia na Iran ipo nyuma. Iran anataka kuwaweka wayahudi busy ili wasifikirie kumvamia yeye. wakimaliza hao wanaweza kuanza hezbulah any time. uzuri ni kwamba Mungu wa Israel alishaahidi, hatawaacha wala hatawapungukia "milele", kwahiyo magaidi yatashindwa tu.
Ishmael na Isaka hawakuwa na sura sawa. Ishmael mama yake alikuwa Mmisri, hivyo alikuwa chotara wa kimisri kidogo ndio wakatokea waarabu fulani, ila Isaka yeye na mkewe sarai, walikuwa wekundu kama wale watu wa Iraq (kwa mfano wakurdi). na sura zao zilitokea tofauti, na hadi leo wana sura tofauti.Uzuri hao wote ni waarabu kutokea kwa (IBRAHIM) muiraq![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mimi sielewi sababu sijawah ata kuiona...nimesoma tu bbc na aljazeera...Unamaanisha nini? Hivi mnaelewa maana ya rockets 7000? kwenda kuipiga Israeli? yenye ukubwa gani?
Itakuwa jambo jema sana, maana nachoshwa na ugomvi usio isha.Mkuu kinachoendela sasa hivi ukanda wa Gaza unaenda kufanywa magofu!
Nionavyo sio rahisi kihivyo kwa external intelligence ya Israel Mossad kuwa na massive failure kama hii.Wajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa.
Swali langu ni kuwa ni kweli Mossad wameshindwa ku detect hii issue kwakua kwa walichokifanya imechukua muda kujiandaa au ni " false flag" waisrael wanataka kuosafisha gaza?
Kumjibu mtu asiyejua ni kupoteza muda tu!!Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.
Huna unachokijua kuhusu Israel, wakati ustawi wa hayo mataifa unategemea Israel. watu wengine hamsomi historia ya Dunia!?Israel ni mkoa wa marekani na ni partner wa UK,
NOTHING MORE
Unajidanganya we boya!!Hv mungu wa wa israel ndio mungu huyo huyo mnaoabudu wakristo?maana km mungu mwenyewe ndio huyo yesu halafu wamempga vile mpk kabaki na boxer sidhani km bado ana upendo nao hao wayahudi
Ila wajinga ndio wamekaza kutoa uhalo wao!!Mashabiki katika ubora wenu....jamaa kauliza anategemea apate uchambuz wa hoja
Kwa maana hiyo hatuelewi chochote...Ila wajinga ndio wamekaza kutoa uhalo wao!!
Kwa kipi? Ile ni proxy nation kama ilivyo TaiwanHuna unachokijua kuhusu Israel, wakati ustawi wa hayo mataifa unategemea Israel. watu wengine hamsomi historia ya Dunia!?