Uvamizi wa Hamas ni "false flag" ya Mossad au ni "failure"

Uvamizi wa Hamas ni "false flag" ya Mossad au ni "failure"

Siwakawaida wanapokea misada kutoka USA kama wadangaji wa bongo Wana uspecial gani.
Siwatafute pesa zao tujue wao ni watabe.
Nafikiri usiwapangie watu namna ya kutafuta namna ya kusurvive.

Hata hao wengine kwani wao wamezuiwa kutafuta njia za kutafuta namna ya kujiimalisha.?
 
Na Israel ingekua na nguvu kama ambavyo wengine wanasema ni ya kawaida ingekwisha futika pale mashariki ya kati.
Kwa sheria za kimataifa haiwezekani hata russia alitamani hata kutumia nyuklia kutandika nchi zote adui zinazomzunguka ambazo ni matawi ya marekani ila dunia itakutenga siyo rahisi kihivyo kama ushabiki wako maandazi unavyofikiria ukishashiba dona lako
 
Kwa sheria za kimataifa haiwezekani hata russia alitamani hata kutumia nyuklia kutandika nchi zote adui zinazomzunguka ambazo ni matawi ya marekani ila dunia itakutenga siyo rahisi kihivyo kama ushabiki wako maandazi unavyofikiria ukishashiba dona lako
jibu lako "bumunda" nenda kamjibu niliye mquote.
 
waliwavizia na Iran ipo nyuma. Iran anataka kuwaweka wayahudi busy ili wasifikirie kumvamia yeye. wakimaliza hao wanaweza kuanza hezbulah any time. uzuri ni kwamba Mungu wa Israel alishaahidi, hatawaacha wala hatawapungukia "milele", kwahiyo magaidi yatashindwa tu.
Uzuri hao wote ni waarabu kutokea kwa (IBRAHIM) muiraq![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri hao wote ni waarabu kutokea kwa (IBRAHIM) muiraq![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ishmael na Isaka hawakuwa na sura sawa. Ishmael mama yake alikuwa Mmisri, hivyo alikuwa chotara wa kimisri kidogo ndio wakatokea waarabu fulani, ila Isaka yeye na mkewe sarai, walikuwa wekundu kama wale watu wa Iraq (kwa mfano wakurdi). na sura zao zilitokea tofauti, na hadi leo wana sura tofauti.
 
Unamaanisha nini? Hivi mnaelewa maana ya rockets 7000? kwenda kuipiga Israeli? yenye ukubwa gani?
Hapana mimi sielewi sababu sijawah ata kuiona...nimesoma tu bbc na aljazeera...
Kwan hizi rockets 7000 haziwez kutumwa israel...tuelimishe
 
Uchambuzi haukuenda kama mategemeo, imekua mjadala wa dini
 
Sema Israel kama Kitimoto tu maadui wengi lkn anazidi kunenepa. Yani wasioipenda Israel wanagekuwa na uwezo kama ambavyo wana jinasibu basi taifa hili lingeshaondoka kwenye uso wa dunia. Mungu ibariki Israel
 
Mkuu kinachoendela sasa hivi ukanda wa Gaza unaenda kufanywa magofu!
Itakuwa jambo jema sana, maana nachoshwa na ugomvi usio isha.
Wafe wafukiwe futi 5000 chini tusahau vita eneo hilo kwa karne moja.
Vizazi vijavyo wawe wana fukua kama anthropologist wafanyavyo kwa dinasor.
 
Wajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa.

Swali langu ni kuwa ni kweli Mossad wameshindwa ku detect hii issue kwakua kwa walichokifanya imechukua muda kujiandaa au ni " false flag" waisrael wanataka kuosafisha gaza?
Nionavyo sio rahisi kihivyo kwa external intelligence ya Israel Mossad kuwa na massive failure kama hii.

Shambulio hili limefanywa na wapigaji wengi equipment nyingi Mosad na CIA wana agents wao almost to all of their top enemies.

Kuna jambo ambalo ni lengo lao kuu wanataka kulitimiza.

Unipolar power ya US inakuwa challenged na Russia na China kwa kasi soon tutakuwa na Multi polar powers world kutakuwa na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi zaidi ya 3 hili US hawalitaki lakini linatokea kwa kasi.

Iran ameplay role kubwa sana ya kuisaidia Russia katika vita na Ukraine na amevisaidia sana vikundi vinavyopinga US na Israel kupata nguvu kubwa sana.

Hapa anaetafutwa long term ni Iran ambaye ndio nguvu kubwa ya proxies wa Russia ktk Middle East ambayo ni epicenter ya World balance of power.
 
Hv mungu wa wa israel ndio mungu huyo huyo mnaoabudu wakristo?maana km mungu mwenyewe ndio huyo yesu halafu wamempga vile mpk kabaki na boxer sidhani km bado ana upendo nao hao wayahudi
Unajidanganya we boya!!
 
Back
Top Bottom