UVCCM yalaani Vikali Mauaji ya Michael Kalinga Mohammed Kawaida kwenda Mkoani Mbeya Kushiriki Mazishi yake hapo kesho

Kichwa anachekesha kama siyo ndugu yako.
 
Wewe Mwashambwa, usingekuwa unatamka kebehi na kashfa kwa vifo vya wenzako basi. Damu ya watanzania bila kujali vyama sasa ni kama maji ya taka yasiyo na thamani. Huyu aliyekufa ni mwana ccm mwenzetu aliyeacha wategemezi na majukumu ya kifamilia. Na Chadema nao wanaouwawa kila siku,, ni watu, wana wazazi watoto na ndugu wa kuwategemea. Wasiwasi wangu ni malipizi yanayopandwa kwa jamii mbili tofauti. Ukiuwa mtu ukaacha ndugu, watatunza visasi na vinyongo hata kwa miaka. Tungejiepusha na damu za Watanzania
 
wauwaji wamefanya kazi nzuri ya kutukuka. Wacha tugawane mbao tu
 
Shiiii! Msipige kelele sana, mwacheni alale pema, kelele zenu zinamsumbua.
Kawaida kifo ni kitu cha kawaida.
 
Wauaji eti wanaua fulu badala ya sangala.
 
Nawapongeza sana watekelezaji wa jambo hili. Ingependeza kama wangeanza na wewe uliyepandisha huu uzi. RIP
BEN SANANE
ANZORY GWANDA
AKWILINA AKWILIN
ALPHONSO MAWAZO
Na wengine mliouwawa chini ya utawala huu wa chama cha mafisi
 
Tusipokuwa makini tutajikuta kwenye mpasuko na msukosuko mkubwa sana Kama Taifa.
 
Kulaani Kuna faida gani
 
Saa hizi ndio umeona umuhimu wa kuungana eh?

Wewe si ndio ulikuwa ukifurahia humu watu wa vyama vingine kutekwa na kuuwawa ukisema hawana adabu kwa kumtukana Samia.

Basi kaungane na chawa wenzio wa mama Abdul.

Kifo ni kifo.
 
Tusipokuwa makini tutajikuta kwenye mpasuko na msukosuko mkubwa sana Kama Taifa.
Mwaka 1995 uchaguzi wa kwanza wa vyamq vingi tz ilikuwa kila baada ya taarifa ya habari saa 2 kupitia its yanawekwa mauaji [picha] za mauji ya Rwanda na Burundi kuwatisha watu wasichague upinzani. Leo wanakuja na ngonjera za kuuwa watu ili kuwatisha kwamba upinzani ni mauji.
We know the truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…