Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Tafiti hazionyeshi kama vitu kama hivyo vimewahi kuchangia chama tawala barani Afrika kutopigiwa kura na kushinda. Si jambo jema ila ndiyo ukweli.
 

Kwa hiyo umeamua kutuletea hayo majungu na propaganda?
 
Umewaza kama mimi
 
huu uzi ukiupitia utakuta vitu interesting

by the way kama serikali(TISS) wanamtafuta kigogo basi wanafeli pakubwa. hawatakiwi kumtafuta kigogo, wanatakiwa wamsubiri kigogo.

ukitazama vizuri the strength of kigogo ni anonymity na kupata kwake habari/info/intel classified. this is his strength, but this too is a weakness!.. ningekua namtaka i would have laid a trap! naanzisha msururu wa intel nyeti, na ntafatilia ni wapi ilikua leaked, polepole nitapeleleza na kuwadaka mmoja baada ya mwingine kuanzia taarifa zinapovujia na wanaohusika mpaka unaipata chain nzima.. hii michezo haihitaji nguvu ni akili, akili , akili tu.

mwisho ni kua hayo yote ni kama kigogo is not a part of the plan ya kutafuta wanaTISS wanaouza na kuvujisha intel!. tetesi ni kua kuna chekecheo linapita huko TISS na kwa ma soja kuondoa ka uozo flani hvi perhaps inahusika. try to connect the dots!. we all know kigogo anatumika ila the question is , WHO IS BEHIND HIM!? na anataka nini!?


mniwie radhi kwenye uandishi wangu ila na mm najaribu kufikiria kama mjuvi.
 

Wacheni kuzunguka mbuyu Huyo ni Zito Kabwe na genge lake kina maria Sarungi et al wote wanaingia kwa jina moja.
 
Unazosema siri zivujishwa na huyo nabii, ni pamoja aliposema JPM amekufa amefia South Africa au zingine?
 
Matumizi ya simu na internet yameongezeka kwa kasi kuanzia miaka ya 2013..ndio maana kila jambo tunalisikia tofauti na miaka ya nyuma ilikuwa habari unapata kijiweni au kwenye magazeti..hii ndo inasababisha kuonekana kwa taarifa nyingi kuvuja..kipindi cha BM internet na smart phone zilikuwa anasa, hadi kipindi cha JK muhula wa kwanza
 
Mkuu hakamatiki hata iweje, Unaweza ukacheza na State na usikamatike ,watu wanacheza na State kubwa na hawakamatiki, ije kuwa Tanzania?
Refer Edward Snowden alikuwa visible Whistle-blower, Marekani ilishindwa kumkamata na hata kabla hajatoroka US alikuwa katoa siri nyingi sana za US kwa Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…