Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

mimi napenda sana watu tuwe na akiba ya maneno.

serikali inaweza kushindwa mambo mengi lakini si pamoja na hili.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Ma Whistle-blower wangapi hawakamatiki hadi serikali zinabadilika?
kama tumeaua kumwita kigogo ni whistle blower basi tushike moja.

maana whistle blower haparamii lolote,anakuwa na mambo speciffic ya kudeal nayo.tumeshuhudia wengi,na wengine wanaitwa wasaliti nk.

niamini mimi kigogo hana maisha.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Na hayo ndio mawazo yangu pia haiwezekani mtu avume kama hivi halafu awe mtu wa kawaida tu
 
NSA .. unaisemeaje ? CIA unaisemeje ? Aceheni kudharau kila kitu, kuna mambo TISS wanafanya ndio maana unapata nguvu na jeuri ya kuwatukana
Tiss ni kijitawi cha ccm hamna wwanachokifanya kwenye nchi kikaonekana. Kama nchi inaibiwa wapo. Ufisadi unafanyika wapo, utawaona wakishughulika na upinzani tu kwa mambo yenye tija kwa nchi wapo kimya.
 
Tiss ni kijitawi cha ccm hamna wwanachokifanya kwenye nchi kikaonekana. Kama nchi inaibiwa wapo. Ufisadi unafanyika wapo, utawaona wakishughulika na upinzani tu kwa mambo yenye tija kwa nchi wapo kimya.
Ukweli mchungu huu.
 
Taarifa nyingi zilizovuja ni za watu kuwindana na kufanyiana visa vya ajabu ajabu. Hatukusikia kuna taarifa imevuja ya namna Tanzania inataka fursa fulani ya kibiashara dhidi ya nchi fulani au namna inashiriki operation za kimataifa. Angalia aina ya taarifa zinazovuja, angalia malengo ya kuanzisha TISS baada ya hapo jiulize na ujijibu.
 
Ni mpango mkakati. In fact, taarifa zinazovuja hazina madhara bali ni za kucheza na akili za watu tu...
 
Kuvuja kwa taarifa nyeti za serikali inasababishwa na usaliti uliondani ya serikali unaofanywa na baadhi ya viongozi wasio na uchungu na taifa lao wanaoweka maslahi yao binafsi mbele kuliko taifa,Tiss wote si wabaya kwa taifa ila baadhi wasio wazalendo kuvuja kwa taarifa inatizamwa kwa picha mbili,kwanza kuvuja kwa taarifa kwa lengo la kuharibu mission ambayo hufanywa na viongozi wenye chuki binafsi wakiwatumia baadhi ya officers wa Tiss ambao walikuwa recruited kimakosa(kindugu au kwa kujuana) wasio wazalendo waliosahau viapo vyao, na picha ya pili ni kuvuja kwa taarifa ikiwa ni mission kwamba taarifa ivuje kwa lengo maalumu na hufanywa na kitengo TISS lkn yote na yote TANZANIA NI YETU usipoijenga wewe nisipoijenga mimi hatutakuwa salama amani tuliyonayo inaumiza mataifa mengi
 
Nataka hizo siri mimi siyo muoga wanipe tu waone.

TISS ya mzanaki inaishia hivo
 
mimi napenda sana watu tuwe na akiba ya maneno.

serikali inaweza kushindwa mambo mengi lakini si pamoja na hili.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Inawezekana, kinacho onekana jamaa ni mtanzani mwenye uraia wa marekani na kuna uwezekano aliukana utanzania.. kumgusa yule ni sawa na kugusa raia wa marekani
 
😲
 
Ukweli sasaa umedhihirikaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…