Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Unafikiri nje ya box sana. Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama story za Kigogo ni za kweli, sipati picha taharuki inayowakumba huko ofisini kwao. Anyway, zinaweza kusaidia kupunguza uzandiki, maana kama ni kweli Lijualikali alikuwa afanye press ya kumpa Mbowe kesi ya yule marehemu diwani, ndio hivyo tena inabidi warudi jikoni tena. Maana wakifanya, itaonekana Kigogo is right.
 
Kwanza tukubali hio ID ya kigogo haiendeshi na mtu mmoja sasa kuanzia apo tukiconnect dot na ilo wazo lako huenda ni sytem linaweza kuwa na uzito mana ingekuwa wa nje wangefahamika as unavyojua siri ni mtu mmoja tu
 
Tena kubwa sana kati ya WAKOROMIJE waliosukumiwa ndani ya TISS pamoja na kuwa hawana sifa na wale ambao walikuwepo tayari na wana sifa husika.

Wakoromije wanataka kutake over KIBABE na wakati mwingi kudharau taratibu za kiutendaji.

Huu mpasuko wa ndani ya TISS uendelee tu ili nyeti zenye uzito ziendelee kuvujishwa.

 
Nakubaliana na wewe kwa %100,kwasbb jamaa linajua kila kitu kinachofanyika jikoni kabxaa kwa mzee meko,,
Hata ma minista wakiwa na vikao vya Siri jamaa linawazingua hapo hapo[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe upande mmoja kama ni mwenzao kimkakati sizani kama angekuwa anamdharirisha mkulu vile, labda kama mkulu yeye kama yeye hajuwi kinachoendelea nakubaliana na wewe! au ni mkakati wao pia kupiga pesa maana wameshajuwa udhaifu wa mkulu hapendi kukosolewa.
 
kama ungekuwa mkakati wasingetenga mafungu ya pesa kumsaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunaukweli pia kwamba kwa sasa recruitment ya TISS iko kikada zaidi. Tegemea incompetence na uvujaji wa siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…